Tiba kwa mtoto mchanga

Tiba kwa mtoto mchanga

RUJEINER

Senior Member
Joined
Jan 18, 2018
Posts
129
Reaction score
152
Habari wanajf...

Naomba kuuliza au kupata msaada kwa tatizo la mtoto mchanga wa siku 3 kutapika uchafu kama damu pia kukataa kunyonya inaweza kusababishwa na nini..na tiba yake inaweza kuwa ni nini..

Asanten
 
Dalili ya hatari hiyo mpeleke hosiptaki haraka kwa ajili ya matibabu, inaweza kiwa NEC ( Necrotizing Enterocolitis) hivyo usifanye masihara nayo
 
Back
Top Bottom