Msamehe, kwani Kiingereza kimekuja na ndege siyo jahazi...Where did you find him or where did you found him??? Umeniacha hapo mkuu
Mkuu muache miss chagga ajiachie coz hatupo jukwaa la lugha. Huoni unamkosea adabu? kama ulikua na swali kwanini usingemtumia PM?. Sijapendezwa mkuu.Where did you find him or where did you found him??? Umeniacha hapo mkuu
Where did you find him or where did you found him??? Umeniacha hapo mkuu
Mkuu muache miss chagga ajiachie coz hatupo jukwaa la lugha. Huoni unamkosea adabu? kama ulikua na swali kwanini usingemtumia PM?. Sijapendezwa mkuu.
Softcated
Sophisticated my sweetie.
Hamna sweetie... hamna anaejua kila kitu.Kumbee ndo hivoo, mpenzi wangu wee si unajua tena st, kayumba academy
Mimi nampenda sana, nawachukia wale wote waliokula pilau, wakapewa kanga, fulana na kuvaa kofia za kijani na njano na kuwasaliti wenzao wapigania ufisadi.i hate this guy!!! where didid u found him?
Mimi nampenda sana, nawachukia wale wote waliokula pilau, wakapewa kanga, fulana na kuvaa kofia za kijani na njano na kuwasaliti wenzao wapigania ufisadi.
Kwa nini mkuu?aya mkuu moto wa milele unakuhusu
Kwa nini mkuu?