Tia neno na wewe

Hatuhami ng'oo mpaka mapaa ya funikwe na maji ,ndoo tupande Safina,
 
Waliuziwa viwanja kipindi cha kiangazi wkajenga kipundi cha kiangazi, ikifika masika wanachukua likizo kuwatembelea ndugu jamaa na rafiki na huhamisha vitu vyote ndani na kufinga nyumba, masika yakiisha wanarudi from vaccation na maisha yanaendelea. Hii ndo bondo daslama bana
 
Huku ni mabondeni tu, sasa jamani maisha gani haya kila mvua nyumba zinazama. Pole yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…