ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,319
- 50,534
105.7 ndio frequency zake Kwa wale Wasikilazaji WA masafa ya fm. Majamaa wako vizuri Kwa upande WA burudani ni USIPIME mziki mkali kuanza asubuhi mpaka kesho Yake . Siwapigii promo Ila kama unaijua HUTAKI Maneno unataka tuweke mziki tu Ebu tune hio radio usibitishe Nachosema. Sina uhakika Ila nahisi wako chini ya tumaini media Kifupi wako vizuri Sana