Three Most Racist nations on Earth

u.s.a na England kuna ubaguzi ila ndio kuna afadhali ukilinganisha na nchi nyingine za magharibi


Ni wapi nilipotaja England ni kwanini unanilazimisha jambo ambalo mimi sijaliandika? Mimi nimeandika USA wewe unaniambia mambo ya England ili iweje?
 
mkuu haueleweki, umesema india ndio most racist then unasema ni Saudi Arabia
halafu ulichoandika hapa kuhusu wahindi kimekaa kama mtu anaye pandikiza chuki dhidi ya wahindi wote
 
Ila kusema ukweli na mimi ningekuwa mzungu ningewabagua waafrika. Alafu hivi ni kwanini Afrika tu hasa kusini mwa jangwa la sahara ndo tuliumbwa kuwa weusi tu. Kwa nini mabara mengine wawe weupe? Huwa najiuliza sana haya maswali nashindwa kupata jibu.
 
It seems racism is a human trait only that Africans or blacks could be the least racist of all followed by some south American countries including the Caribbean.
 
Hata sisi wabaguzi
Mhaya hapati mke mchaga au mnyachusa au mzaramu.
Akiwa bosi mchaga basi ofisi itageuka kilimanjaro hivo hivo akiwa mhaya au mnyakyusa...
Hii ni natural phenemenon ....na tumeumbwa hivyo ...sijui ungekuaje kama sote tungekua race moja ?
Unafahamu kuwa wakati Hitler akiunda taifa la Super Race ya wajerumani wenye macho blue na blondie alisema watoto wa ki Gipsy nao wana macho blue wajaribiwe kuwekwa pamoja na watoto wa Kijerumani kuona kama wanaweza kuishi pamoja...results zilikua mbaya ..hawakuelewana na gypsy wakaindolewa kwenye mradi wa super race
 
Aisee kuna hizi nchi za Ulaya mashariki umezisahau kina Poland na wenzake
 
Dah niliangalia wakati niliangalia kipindi cha The witness cha Aljazeera, dah walionyesha jinsi ubaguzi hasa kwa watu weusi unavyofanyika kule Russia, aisee ile picha haitokuja nitoka kichwani na moyoni mwangu mpaka Israel atakaponitembelea
 
Acha kuhusudu weupe wewe!!
 
ni sisi kujifunza uzalendo wa kupendana na kupeana priority then wafuate wengine.
waTZ KWANZA
Wa EAC PILI
Wa jirani zetu wengine( walioungana na nchi yetu) TATU
wa SADC nne
Wa AU tano
CHANGUO LAKO BINAFSI
 
Hivi kuna nchi yenye ubaguzi kuzidi ISRAEL???
 
ramani hii inaonyesha mataifa ya ulimwengu ambapo ubaguzi upo kwa kiasi kikubwa hii study ilifanywa na World Value Survey kwa nchi 80 na kuchapishwa jarida la washington post.

hapo ukiangalia inaonyesha India kwa zaidi ya 40% ndo vinara zindine ni israel, saudi arabia .
source: Map shows world's 'most racist' countries
 
Hivi mfano mungu angetoa kama ofa kwa mtu mweusi anayetaka amgeuzee kuwa mweupe,hivi unafikiri ni wangapi leo wangechagua kuwa weupe?


Mi huwa najiuliza ikiwa kweli watu weusi tunaamini kuwa mtu mweusi ni mtu wa kawaida kama walivyo watu weupe na hakuna kasoro kwa sisi kuwa weusi. je,kwanini tunalalamika kubaguliwa ikiwa sie wenyewe hatuoni tofauti yeyote kwa hivi tulivyo?
 
Sisi watu weusi bado tunabaguana sana kuliko tunavyobaguliwa na wazungu wahindi nk.

Tembea kidogo nchi za Africa utaelewa ninachokisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…