Visa not required.... do you think our security officers are such stupid... holding someone without reasons?Napenda jinsi Wadanganyika wengi kizungu ni janga la taifa. hawasomi nakala kabla ya kupachika mpurupuko wao kwa JF. hawa maripota kutoka gazeti za kenya walienda semina na visa haitajiki kwenda nchi ya zanzibar kama moja ya nchi za JAM. hawakwenda kuishi hio nch ya kisiwa!!!
Three Kenyan journalists were arrested in Zanzibar on Thursday for not having visas despite the lack of this requirement.
"There is no requirement for visas to Zanzibar," she noted. "We are checking with our teams."
Mpurupuko,=mkurupukoNapenda jinsi Wadanganyika wengi kizungu ni janga la taifa. hawasomi nakala kabla ya kupachika mpurupuko wao kwa JF. hawa maripota kutoka gazeti za kenya walienda semina na visa haitajiki kwenda nchi ya zanzibar kama moja ya nchi za JAM. hawakwenda kuishi hio nch ya kisiwa!!!
Three Kenyan journalists were arrested in Zanzibar on Thursday for not having visas despite the lack of this requirement.
"There is no requirement for visas to Zanzibar," she noted. "We are checking with our teams."
Ngoja waisome namba tu hamna jinsipolisi wa tz waendelee na ukaguzi tuu hamna jinsi[emoji2] [emoji2] [emoji109] [emoji90] View attachment 508681
Mzungu naona anaenjoy tu. Hapo nahisi alimpa jina la hoteli na room number.polisi wa tz waendelee na ukaguzi tuu hamna jinsi[emoji2] [emoji2] [emoji109] [emoji90] View attachment 508681
Asa ndo umeandika nini hapo mkuu? Au umetype tu kwa sababu vidole unavyo?Napenda jinsi Wadanganyika wengi kizungu ni janga la taifa. hawasomi nakala kabla ya kupachika mpurupuko wao kwa JF. hawa maripota kutoka gazeti za kenya walienda semina na visa haitajiki kwenda nchi ya zanzibar kama moja ya nchi za JAM. hawakwenda kuishi hio nch ya kisiwa!!!
Three Kenyan journalists were arrested in Zanzibar on Thursday for not having visas despite the lack of this requirement.
"There is no requirement for visas to Zanzibar," she noted. "We are checking with our teams."
polisi wa tz waendelee na ukaguzi tuu hamna jinsi[emoji2] [emoji2] [emoji109] [emoji90] View attachment 508681
Huo mkanda siyo wa polisi wetupolisi wa tz waendelee na ukaguzi tuu hamna jinsi[emoji2] [emoji2] [emoji109] [emoji90] View attachment 508681
Acha uchochezi wewe.Hii habari imekaa kimahaba na haieleweki, ila ninachokijua ni kwamba kama mwanahabari halafu unakwenda kwenye nchi yoyote yenye ukandamizaji na mapungufu ya demokrasia, lazima uwe makini, hakikisha una makaratasi yote na pia ubalozi wako wanajua uwepo wako. Vinginevyo, wanahabari huwa wanafuatwa sana, hebu jaribu kuingia Korea Kaskazini ndio uone shughuli yake.
Pale Zanzibar kuna matatizo makubwa ambayo yalisababisha hata Tanzania inyimwe misaada kwenye kile kibakuli cha kuombea misaada wao huzungusha kwa wazungu, hivyo mwanahabari wa kigeni kuwa makini, utapotezwa baharini. Ukiingia pale fuata taratibu zote, na kama huzijui, basi kabla hujasafiri wasiliana na wakili wa nchi husika akuweke sawa kwa taarifa zote.
Hakikisha pia una jamaa zako kwenye uhamiaji pande zote mbili ambao mnapigiana simu ili kuwa na uhakika wa kila hatua.