DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,954
Kuna dogo alikuwa anachezea simu mkuu
Wanafanya wageni wanaokuja nchini wajiulizeAkili hata haiwezi kuwepo aiseee!!!
Ndio maana si wake wala waume wote tuna vitambi. [emoji28]
Hebu tutake radhi wenye matumbo yetu dogo. πWanafanya wageni wanaokuja nchini wajiulize
inakuwaje kwenye hii nchi kila mwanamke ni mjamzit.........?
Naomba radhi ila sifuti kauliHebu tutake radhi wenye matumbo yetu dogo. π
Haina shida. Soon tutaanza mazoezi.Naomba radhi ila sifuti kauli
Mumchukue na Bashite ili akapunguze wouwouwouHaina shida. Soon tutaanza mazoezi.
Hahahaaa! Lol.Mumchukue na Bashite ili akapunguze wouwouwou
Hivyo kufanya mazoezi ni sawa na kupoteza muda?
Hapo inakuwa sawa na bure tu. Na ndio wengi wetu tupo hivyo.
Mfanye hivyoHahahaaa! Lol.
[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ