Three easy ways to punish a Woman without physical abuse

Wewe unataka kuliwa ndogo Achana na mke wangu
Ukiweka hasira hivo utakuwa unateseka jomba,hawa dada zetu wakipenda sehem huwaga hata unune vipi ananifata mwenyewe,asa matusi ya nini,kwanza anakukwepa sana hajibu jumbe zako
 
Wewe naye usijifanye keki sasa.. Unaweza puuzia kureply comment zao.. Usijikute kekiiii kumbe wa kawaida... Acha wenye mawazo mbadala wa comment msitujajie ujinga wenu humu...
Naweza kuwa Keki kwa mwingine kwako nikawa bonge moja ya gimbi.

Huoni huu ujinga ni wetu sote ama.tulia mkuu usipende ingilia conv za watu.tuli hivyo hivyo.

Naona unataka league na sipo tayari.🥂
 
Kwanini unanilisha maneno❓Hiyo maana yangu unaijua❗Tafadhali mkuu
Afu ukute mtu ka wewe ukisha chezea mic,kila kitu hufany hadi nkusuhusu mimi,but first time unajifanya simba jike kumbe nae anazaa
 
Ukiweka hasira hivo utakuwa unateseka jomba,hawa dada zetu wakipenda sehem huwaga hata unune vipi ananifata mwenyewe,asa matusi ya nini,kwanza anakukwepa sana hajibu jumbe zako
Endelea utapata unachokitafuta
 
Afu ukute mtu ka wewe ukisha chezea mic,kila kitu hufany hadi nkusuhusu mimi,but first time unajifanya simba jike kumbe nae anazaa
Sema unavyoweza sema unafikiri nitakupinga.ugomvi siwezagi nahisi na hii ndo comment ya mwisho.🥂
 
Sema unavyoweza sema unafikiri nitakupinga.ugomvi siwezagi nahisi na hii ndo comment ya mwisho.🥂
Nachoshukuru unajielewa,na unatambua huenda tukawa pamoja siku za usoni,pia mimi sina tatizo nawewe,one love dada mzuri.
 
Wakati unafanya yote hayo mie nipo hapo kwako nakuangalia tu? Mkuu hebu kuwa sirias bana!

Siku hz hatuna muda wa kubembeleza mwanaume, ukianza na hilo la kwanza tu unapigwa spana maisha yanaenda hatutaki kuugua presha za kujitakia
 
Spana ukimaanisha nini?
 
Huo muda wa kukomeshana na mtu mzima mwenzako unautoa wapi?
Labda uwe mwanaccm
 
We rudi hata kesho kutwa, usipokula si ndio umenipunguzia mzigo wa kupika[emoji1745]
Hilo lingine we susa tu hata mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake hawa hawa tunaoishi nao?.........

1.ukichelewa kurudi watajua ulikua kwa mchepuko, utaongeza vurugu,.....

2.ukikataa msosi watajua umekula kwa mchepuko, utaongeza vurugu........

3.ukimnyima mdinyo atajua umedinya mchepuko wako, utaongeza vurugu........

kama na yeye ni kichwa maji, utaanza kulea watoto wa wenzako muda sio mrwfu, bila kusahau mabaharia watatindua mtaro!
 
Nakuja mbio mbio nikajua umeishia kwenye Kichwa tu cha uzi kumbe na chini umeshuka Kikristo, tena cha ndani kabisa!
 
Block financial base, find another girl...ikiwa lazima sana muache aende...
NB: Ina apply ukiwa na uchumi wa kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…