THREAD zako tu!!! Tumekumiss ujue!!!

Nilichotaka kuwambia
Nimewamiss kwel kanisani

Sikuhizi mmebadili kanisa

Hahaaaaaaaa umenifanya nicheke, tupo wala hatujabadili kanisa tulisafiri kidogo jumapili utatuona.
 
ngoja nikimaliza kula daku nami nitachangia.
Nalog off
 
ngoja nikimaliza kula daku nami nitachangia.
Nalog off

Uje na unaemmisi wengine tumevamia tukazalilshwa kumbe tumedandia basi kwa mbele

Awakuangalia huruma zetu za NAKUMAT

RIP.JOSEPH GODFREY(JG)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…