THREAD zako tu!!! Tumekumiss ujue!!!

sitaki mazoea kwa mke wangu!

Ukitaka amani na mimi mwanyasi achana na mawazo ya kumtaka chocs
nitakunyofoa hicho kifanyio ubaki kama alivyo chocs shauri yako

mmmmh embu tajeni jinsia zenu kwanza

isijekuwa mnapendana me kwa me

ama ke kwa ke


na mie hako kamchezo sina

nikiangalia majinayenu sioni jinsia

nitaendelea nikielimishwa
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni hii?! Erickb52 usijali, Chocs wako tu. Ujue ni class mate wangu pale kyuo kikuu kya fikokombe fya kyuma. janeth1 alikuwa one class back

Mme ujue mwenyewe hiyo kiss yako imeniuma kisirisiri hapa nasikilizia tu cheki Mme mtu alivopanik! Please nitake radhi unamiss mke wa mtu hadi unajing'ata kweliiiiii.....
 
Last edited by a moderator:
Mme ujue mwenyewe hiyo kiss yako imeniuma kisirisiri hapa nasikilizia tu cheki Mme mtu alivopanik! Please nitake radhi unamiss mke wa mtu hadi unajing'ata kweliiiiii.....

Janeth mi Nina Panya natafuta sumu

Naambiwa mkewamtu sumu

Umejua kwanini wanapenda sasawake za watu nyumbanyingi zimejaanpanya sio watu soln sumu
 
Mme ujue mwenyewe hiyo kiss yako imeniuma kisirisiri hapa nasikilizia tu cheki Mme mtu alivopanik! Please nitake radhi unamiss mke wa mtu hadi unajing'ata kweliiiiii.....

Wakati namwambia, nilikuwa nakula mamboleshi, ndipo nikajing'ata. Hivi huyu si alikuachia madesa?
 
Janeth mi Nina Panya natafuta sumu

Naambiwa mkewamtu sumu

Umejua kwanini wanapenda sasawake za watu nyumbanyingi zimejaanpanya sio watu soln sumu

Ebu nipatie hiyo nitatega hadi watu mie wanaojitia wanajua kukiss waume za watu.
 
Sofar mlio makazini/mabasi

france 1 nigeria 0

dk ya 88


huree africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…