THREAD zako tu!!! Tumekumiss ujue!!!

Last edited by a moderator:
nipo sana, ila was so bussy na katiba mpya, na majukumu mengine, mara nyingi huwa nakuja kuchungulia ila nisingeweza kuanzisha mada alafu nikiwa sina muda wa kuzichangia, nitarudi tu japo bado nina majukumu makubwa ya kitaifa zaidi. WELL, AM GLAD. TUPO PAMOJA
 
Mshinga unaitwa huku njoo utuboe tumemiss ....

Am right here, worry out, was so bussy na ile rasimu ya katiba mpya, nilijikuta sina muda kabisa wa kuanzisha mada huku na kuzichangia japo huwa nakuja kuchungulia mara kwa mara.
 
Mie huku niliko mh..........hata celewi nani kapotea/nani hajapotea.

Nipo mto Songwe najifunza kuogelea.
 
Mie huku niliko mh..........hata celewi nani kapotea/nani hajapotea.

Nipo mto Songwe naendelea kuipeleleza Malawi.
 
Judgement Bishanga na mkeo mko wapi?!

Afu Erickb52 sipendi ujue,uwage unapita huku!
I real miss you so much my wife @chos
Najua unanimiss sana kuliko mtu yeyote ila nisamehe tu kipenzi....dunia imebadili speed ya kuzunguka kwa sasa so namimi nimekua busy na mambo yetu yaleeeeeeee....

Nikipata muda nitarudi ili namimi nienjoy na jamaa zangu akina Mr Rocky na wote.

Pokeeni salamu nyingi sana toka kwa mzee mwenzangu Bishanga ....tukikamilisha maisha bora kwa kila mtanzania tutarudi tena...!
Take care
Love you so much mpenzi!

Cc Arushaone and Lady doctor
 
Last edited by a moderator:

Kweli uwe unapitapita aisee, waambie na akina marejesho k.k Filipo, Preta PakaJimmy Blaki Womani Lily Flower wapite na kuacha comments walau mara 2 a month
 
Last edited by a moderator:
Preta cjamwona long time.cijui kapotelea wapi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…