Thread ya Ndoa, Mahusiano & Ushauri

ujuguhapa

Member
Joined
Jul 28, 2020
Posts
30
Reaction score
36
ACHA KUUTESA MOYO WAKO

Naomba Nisikilize Dada Yangu Kipenzi,

Unajua Inashangaza Pale Ambapo Mwanamke Mrembo Unang'ang'ana na mwanaume Ambaye Hata Hana Muda wa Kukufikiria.

Yaani Unapoteza Muda Wako Kumuwaza MTU Ambaye Hatumii Hata Sekunde 15 kukukumbuka.

Unamwona kabisa hana Muda Na Wewe lakini unapambana kumshikilia Wakati Mwenzako anataka kwenda.

Unapata Mwanamke uko na kaboyfriend kako ambako kila ukikatafuta kanakwambia Niko bize, kila siku unatuma meseji hazijibiwi MTU huko bize. Lakini ukimwambia njoo geto nimekumisi atakuja kukukunja siku nzima wala asikwambie kwamba huko bize

Inaumiza kuona kwamba Wanawake Wengi mnaingia na kung'ang'ania Katika Mahusiano yasiyo sahihi kwenu na mnashindwa kujinasua mkitegemea jamaa atabadilika.

Dada unakaa unajiuliza Yule Mwanaume aliyekuwa anakujali, na kukupenda amepotelea wapi mbona mwanzo hakuwa bize kama hivi? Inafika mahali anasahau hata namna alivokusevu Kwenye simu yake lakini nakuambia siku mnakutana Hawezi sahau kilicho chini ya nguo zako za ndani wala kilicho kifuani kwako.

Kwanini Upoteze Muda Wako Kwa Mwanaume Asiye Kuthamini? Utakaa ulie Mpaka lini Kwa Ajili Ya Mwanaume Anayekutafuta Siku Anataka Kuona Utupu Wako?? Kama kweli Anakupenda Atafanya Muda Kwa. Ajili Yako. Ukiona Hutafutwi Elewa Wewe Sio Mwanamke Wake Wa Pekee. Wewe ni Kamchepuko Mama Kwenye Moyo wake Anatafutwa kila SAA.

Ukiona amekuchangamkia hyo siku basi elewa kwa mwenye mali yake mambo hayako sawa. Basi anakuja kwako spea tairi ili apunguze upweke kwanini lakini?? Nafikiri Nimekwambia Ukweli na Ukweli Ukuweke Huru, usikubali kuwa chaguo la pili kwa mwanaume yeyote.. Wewe ni mrembo unastahil kilicho bora.

Kama ukiamua kuwa chaguo la pili ni jukumu lako ila nimejaribu kukupa uhalisia.

Usiruhusu Mwanaume Yeyote Akuchezee Hisia zako (hata kama ni Mimi😂😂) Usiumize Moyo Wako, wala usijitafutiw huzuni kwa watu wanaojionyesha wazi kwamba ni wapita njia.

Mwisho wa siku Utaumwa na utakufa wala hawatakuja kukuzika Mwenzangu alafu hasara sijui itakuwa ya nani

Maandiko Matakatifu Yanasema: Ulinde Moyo Wako Kuliko Kitu Chochote Maana Huko Ndio Zitokapo Chemichemi Za Uzima.
 
Wanandoa
Najua mnajua ila ngoja niseme tu kama ulikua hujui..
Kuna baadhi ya ndoa tendo la ndoa limekuwa la kubet....ligi ikiishaa ni likizo mpka msimu ujaoo/najua munanielewa!!kuna ndoa zinavuja jasho!!!tendo la ndoa limekuwa la kutegeana!!kila mtu anasubiri mwenzie amuanze asipojitolea msamaalia mwema kumauanza mwenzie hata miezi saba itakatika bila bila!!..mukiona tendo ndoa limekuwa la kuviziana kila mtu anasubiri abustiwe na mwenzie mujue kuna shida kubwa!!muiteni simba wa yuda hata kwa pambio!!….nakushuri tu ukiona tendo la ndoa limeanza kuingiwa na vimaneno kama nimechoka, sijisikiii, acha usumbufu bhnaa, jana si tulifanya nimechoka, naumwa niache, aah nimechoka bhnaa jana si tulifanya huridhiki tu, ukitaka chepuka!!ndugu yangu ukiona hivi vimaneno vinakoleza ndoa yako kila unapohitaji tendo la ndoa nenda kamlilie MUNGU WAKO !

Lakini nyie mabinti na wa mama kwenye ndoa
Hivi nani alisema na wapi imeandikwa kwamba kiiiiiiila siiiiiikuuuu kwenye ndoa mume ndio wa kuanzisha kuhitaji tendo la ndoa? Hata kama mwanaume ndio mzee wa kiu zisizoisha lakini haimaanishi mke naye huwa hafeel kabisa. Yani mwanaume yeye kila siku ndio alianzishe mpaka sometimes anaona aibu anawaza "sijui huyu mwanamke atanionaje aisee". Sasa cha ajabu wanawake wengine hata awe na kiu ya ngamia atajibaraguza na kujibana katu hasemi kitu wala haonyeshi dalili. Kisa cha kujitesa? Kwani ukimwambia kimahaba kuwa unamhitaji, kuna hela kwenye akaunti yako itapungua? Shida ni kwamba kwenye vichen paty wengine mliishia kupewa mahotipoti halafu mambo ya msingi hamkuambiwa. Ungejua jinsi mwanaume akiskia kasauti kakumhitajika kazini anavyopata liupako la kuhamisha milima.
 
Kaka👇👇
Ushawahi kujiuliza kwanini mwanamke analia kirahisi anapoumizwa? Ni kwa sababu mwanamke hapendi matatizo. Pale alipo mwanamke, hua panakua na mpangilio mzuri ikiwemo na amani.

Muulize mtu yoyoye aliyefanikiwa, aidha atakwambia ni kwa sababu ya mama yake kumpa support au mke wake.

Mwanamke aliumbwa kuleta amani na mpangilio katika maisha. Hivyo kama sehemu hakuna amani na mpangilio mzuri mwanamke hawi comfortable hata kidogo.

Anaweza akaingia kwenye nyumba ambayo ni chafu na haina mpangilio akaisafisha na kuiweka katika hali nzuri. Anaweza akamuona mwanaume wake mchafu, asie na mpangilio wowote wa maisha akajitahidi kuyaweka maisha yake kwenye hali nzuri ingawa atakutana na vikwazo kutoka kwa mwanaume huyo ikiwemo kutosikilizwa ushauri wake.

Mwanamke anafanya kazi yake vizuri mahali ambapo kuna mazingira ya amani na mpangilio mzuri.

Kutokana na hayo, hata kwenye MAHUSIANO, mwanamke anahitaji amani na hujitahidi kwa kila hali kuwe na amani. Ukiwa kama mwanaume, ni jukumu lako kutengeneza mazingira ya amani kwa ajili ya mwanamke wako. Hautakuja kuona uwezo wa mwanamke wako katika mazingira ambayo hayana amani.

Anapokuwa hana amani na wewe, mwanamke wako hujisikia hawezi kitu, ile nguvu yake ya ndani haiwezi kuonekana, ule uwezo wa usaidizi humpotea kabisa.

Kama ukitaka kumfaidi mwanamke wako, mpe amani, mjali na mpe ile attention anayoihitaji. Kuwa karibu yake pale anapokuhitaji msikilize huku ukimuangalia machoni mwake,mwambie ndio maana nakupenda

Mwanamke anapokua na amani, uhakika na kujiamini kwamba yupo sehemu sahihi, ile nguvu na uwezo wake huja automatically. Atakuombea mara kwa mara wakati ukihangaika kujitafutia kipato. Usitegemee mwanamke akuombee ufanikiwe wakati mafanikio yako ni mwiba kwake.

Unapomjali vizuri mwanamke wako alie bora, atakupa support ambayo hauwezi kuitegemea. Mungu husikia kilio cha wanawake. Mungu hujibu maombi ya wanawake.
Ndio maana kuna wanaume wengi leo toka wameaanza kutafuta maisha hawajafanikiwa ila siku tu wakiamua kuchagua mwanamke na kuoa wanatajirika
 
Kwako kaka nisikilize :Msamaha

Mwanamke anapokuomba msamaha baada ya wewe kumkosea usidhani ni mjinga, usijipe kiburi kwa kudhani labda hajui anacho kifanya, usivimbe kichwa na kujidanganya kua labda huyu hana pakwenda ndiyo maana ananinyenyekea. Usijisahu na kurudi kosa lile lile kisa unajua kuwa atakuomba tena msamaha na wala usijisifu kwa tambo kuwa wewe ni mjanja zaidi yake.

Anakuomba msamaha kwasababu anfaahamu thamani ya ndoa yenu, anafahamu thamani ya mahusiano yenu, anajua gharama ya kutengana kwenu, anakumbuka yote aliyopitia mpaka kufikia hapo mlipo, anathamini yale mzauri kidogo ambayo ulishawahi kumfanyia na anajua kuwa katika mahusiano nilazima awepo mmoja wa kuyalinda. Usimsukume kusahau yote hayo.

Acha kumfanya kukata tamaa ya kulipigania penzi lenu,
usimfanye kukata tamaa ya kusimama kwaajili ya ndoa yenu, usimfanye kukata tamaa ya kupata furaha tena kwa sababu mwanamke anapokata tamaa na ndoa jua hamna ndoa tena, hamna mahusiano tena, unacheka sasa kwakua bado anakuvumilia lakini siku akichoka kukuvumilia basi utalia lakini machozi hayatatoka, punguza kiburi, si ujanja kumnyanyasa mtu anayekupenda kwa dhati!!! Akiondoka utakufa #umesimama we jamaa!!!!!!😁😁😁
 
leo tuishie hapa tukuatane usiku saa mbili
ntakuwa nazungumzia kuhusu tendo la ndoa
wewe dada kaka mwenye matatizo kwenye mahusiano au ndoa
na wataka ushauri Ni pm tubonge upate ushauri chanya wa kujenga na si kubomoa furaha
 
Mwijaku umetoa wapi simu huko rumande?
 
Wanadoa njooeni hapa
KELELE ZA MAHABA KITANDANI
Ndio soma la usiku huu. Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa Kitamu kama mwanamke ambaye anakuwa anatoa sauti kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu
au sweet words).Mwanaume akiwa kwenye game anapenda sana kujua mke wake anajisikia vizuri kwa kile anafanya na kwamba mwanamke anaonesha total participation,pia vile mke unatamka jina la mume wako kwa manung'uniko ya kimahaba huleta raha sana pamoja na vikelele vingine kama vile ooooh! aaah! mmmh! nk humpa uwezo zaidi mume kuendelea kukurusha kwa namna ya ajabu na kuweza kukuridhisha inavyotakiwa.
Kawaida mume huaanza kukuuliza kama kile anafanya unakipenda na kwa njia hii ni vizuri wewe mwanamke kumweleza vile unajisikia na unaweza kuji-express kwa uwezo wako wote na hapa ndipo unaweza kuongea sweet word zote (ulizojufunza au kadri feelings zako zinavyokupa taarifa kwenye kiungo kile kinapata raha au kinaguswa kwa mguso mtamu zaidi) si unajua mapenzi ni sana na msanii mzuri anajua nini aongee na aongee namna gani na mwanamke umejaliwa kuwa na sauti ambayo kwa miguno na kulalamika kimahaba mnaweza kuwa na sherehe nzuri sana ya kuwa mwili mmoja. Kuwa kitandani ni nafasi kubwa sana mke kuweza kuonesha umaridadi wake haina haja kushona mdomo au kubaki kimya kama vile mume amelala na gogo badala jitume kwa maneno na matendo, huu ni uwanja wako, mume wako, jipe raha na enjoy raha ya mwili.Piga kelele kwa raha zako na unaweza kutamka kitu kizima kizima bila woga maana huyo ni mume wa ujana wako, hapa sitoi mfano ila taja kama ilivyo sema ilivyo tamu🤣🤣
FANYIA KAZI USIKU HUU KESHO UNIPE MREJESHO pM
 
TENDO LA NDOA BILA KILELE NI KUCHOSHANA😂😂😂 Kabla hujatamani kufanya tendo ni vyema tutambue umuhimu wa kufika kilele (mshindo)
Kwa wote wawili. (Me/ke)

Kufika kileleni au kufika mshindo kwa lugha ya kitabibu hujulikana kama orgasm na kwa lugha ya Kiingereza hujulikana kama ‘coming’ au ‘climaxing.’ Kwa mwanamke tendo hili humfanya aridhike na awe na amani moyoni mwake, Kwa mwanaume Tendo hili humpatia utulivu wa akili lakini humpa kujiamini zaidi kwa Mkewe/Mpenziwe.
Ni tukio ambalo linahusisha upitaji wa hatua kadhaa wa usisimuliwaji wa kimwili na kiakili.

Ni kawaida katika jamii kuwapo kwa malalamiko ya ndani kwa ndani kuhusiana na tukio zima la wenza wawili kutofika kileleni na kuridhika.
Tafiti zinaonyesha wanawake ndiyo wanapata zaidi tatizo hili kuliko wanaume. Na hii husababishwa na mambo mengi ikiwa ni pamoja na yale ya kisaikolojia.
Kutokuandaliwa vyema, vinyongo na kutokuwa na hali ya msamaha kwa mwenza.Na mara nyingine husababishwa na Kuwa kwenye mahusiano na mtu ambae huna upendo wa kweli juu yake,...Mtu ambae uko kwake kwa sababu zako binafsi ambazo ni tofauti na upendo.
Tafiti zinaonyesha kuwa asilimia 10-15 ya wanawake duniani hawajawahi kufika kileleni.
Kufika kileleni ni msisimko wa kipekee unaoleta hisia nzuri kwa wenza wawili wanaowajibika kikamilifu katika tendo la ndoa. Hisia hizi hutokea kwa wenza wote kama ishara ya kufikia kilele cha tendo na kuridhika.

Hisia hizo huambatana na mtiririko wa matukio kadhaa yanayohusisha mfumo wa fahamu (ubongo na mishipa ya neva), damu na moyo, vichochezi na maeneo mengineyo ikiwamo viungo vya uzazi.

Wenza wanapofika kileleni mapigo ya moyo hubadilika, hudunda kwa haraka na huku upumuaji ukiwa ni wa kasi na kuvuta pumzi kwa nguvu.
Kwa wanawake hali hii huwa ni nzito na yakipekee, kufika kwao kileleni nakupata hisia nzuri huweza kuambatana na kujikunja ama kujikaza kwa misuli ya maeneo ya ukeni, nyumba ya uzazi na kiunoni.

Mwanamke anaweza kufika kileleni zaidi ya mara moja muda mfupi tu tangu alipofika kileleni mara ya kwanza na ataendelea kupata hisia hizo endapo ataendelea kusisimuliwa, hisia hizi hudumu kwa sekunde 15-60.
 
🥒🍑GOLI LA ASUBUI LAZIMA LIPATE MPIGAJI MAHIRI WA MASHUTI. 🍑🥒

✍️Sio unaianza siku kwa goli la kisigino babu weeeh, goli la asubuhi ni la kuanzia siku, hivyo lazima liwe la uhakika. Goli la asubuhi Lina mambo laweza kukufanya ufanye kazi Km punda au kulalala tu au hasira mwanzo mwisho. ukimpata mwanamke anayejua kujituma hasa na wewe mume ukawa fit basi siku hiyo mtu hung'ara kwa furaha.

✍️ Pia huwa anacheka cheka kila Mara. Hii inatokana na kumbukumbu za mechi iliyochezwa asubuhi. goli likinoga humfanya mtu afanye kazi bila kuchoka kwani mwili huwa mwepessssiiii.

✍️ goli la asubuhi huzusha hasira pale ambapo mmoja hakuweza kufikishwa safari yake. Ha ha ha na ukishushwa njiani ndio unune tu itakuwaje umejipaka wanja waenda mjini halafu ushushwe njiani uwende kwa miguu. goli la asubuhi humfanya mtu kulalala tu pale anapofikishwa mjini zaidi ya Mara moja. unajisikia rahaaaaaa tu na mwili kuwa hauna nguvu. raha ya goli apatikane mpigaji na mdakaji ndio kandanda huzaa matunda.

✍️Mwanamke unatakiwa kuwa wa kwanza kuamka, ili uwez kumwamsha kichokoz mumeo ili apata chai ya kitandan (bedroom tea) kabla ya kwenda kazn, hata Kama na ww mwanamke unaenda kazn, kutekeleza majukumu ya ndoa ni muhimu sana pia, kwa7bu Kuna faida nyini za goli la asubuhi.

Kama vile, Kukuweka sawa Kiakili na kimwili, kukutolea uchovu, mawazo na kuongeza umaridadi wa ubongo uwapo kazin, nisehemu ya mazoezi, lakin muhimu pia Huimarisha ndoa/mahusiano.

✍️Mwanamke andaa muda special wa asubuhi wa kumwamsha mumeo kabla ya kwenda kuuza vitumbua vyako, kabla hujaanza usafi wa nyumba au kwenda kazini.

Kama humpagi mumeo cha asubuhi anza Sasa, ndan ya wiki hii utakuja kunipa matokea, sio kujifanya busy tu na kazi, mume anahitaji matunzo, tena matunzo yk special za Mtoto mdogo
✅libmwata sio lazma kwenda kwa mganga, Ni ww unajua mapenzi kwa upana gani (mapenzi Ni uwanja mpana ) ko jua kucheza namba zote, sio uwe kiungo namba 6 kukatakata mauno utegemee kumtuliza mume 😅
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…