Message…nilituma maombi bodi ya mikopo ila cheti changu cha kuzaliwa kilihakikia na maafisa wa RITA wa wilaya kikasainiwa na kupigwa muhuli na mahakama. Je kuna shida naweza kutana nayo katika kupata mkopo

Hakina shida as long as hao maafisa ni wafanyakazi wa RITA waliopo kwenye branch zao Mimi mwaka Jana nilihakiki vyeti iringa ofisi ndogo za Rita mkoa huo na mkopo nimepata
Muda wa kufanya correction huwa wanatoa, kuanzia mwezi ujao wataanza kutoa majina ya wote wenye makosa madogo madogo yaliyojitikeza wakati wana apply na watatakiwa waende Bodi ya mikopo wakayarekebishe.
Hakuna shida kabisa maana walitangaza uhakiki kwa njia ya mtandao kama uko nje ya wilaya yako ila kama uko ndani ya wilaya yako unahakiki katika ofisi ya wilaya!