Thread sasa zinapumua: Mwanamalundi Kapotea!

Hahahahahaha...huyu hapa
Shamwona Chocs! Nilidhani angekoment kwenye hiyo thread yangu: 'Hayakuhusu', lakini wapi.Amejieleza vizuri sana tena
kigentleman! Laiti angeendelea kuwa mtoto mzuri hivyo!
 
Last edited by a moderator:
HYGEIA naona kama you are the same person na Mwanamalundi
au ni macho yangu

Macho yako tu aiseee Mamndeny! Mimi sina hiyo midevu ya msimamo mkali! Halafu ingawa kuna multiple id's hapa JF, siwezi ku-create character inayofanana na Mwanamalundi. Mimi ni mtoto mpole, mzuri, muungwana na...........(ongezea)
 
Last edited by a moderator:
........... na mchapa kazi mzuri .........
Macho yako tu aiseee Mamndeny! Mimi sina hiyo midevu ya msimamo mkali! Halafu ingawa kuna multiple id's hapa JF, siwezi ku-create character inayofanana na Mwanamalundi. Mimi ni mtoto mpole, mzuri, muungwana na...........(ongezea)
 
Kaka mimi bado nipo sana hapa ndani. Tuendelee kuelimishana. I salute you my brother!! Long live JF!!!
hayatuhusu upo haupo n maisha yako hahahaahahahahaah mi huwa napenda comment zao watu wenye temper ndio huweza kasirika lakini tuliozoea viumbe binadamu wewe ni wakawaida sana,
 
Eti Nivea wewe unapenda komenti za watu wenye temper? Na umezoea viumbe waitwao binadamu?Weweb una mrengo wa kisiasa? uko upande fulani katika vyama vya siasa? Kama majibu yako ni ndio hebu tembelea jukwaa la siasa na kama baada ya siku tatu hujapigwa ban uje hapa utueleze
 
Last edited by a moderator:
Shamwona Chocs! Nilidhani angekoment kwenye hiyo thread yangu: 'Hayakuhusu', lakini wapi.Amejieleza vizuri sana tena
kigentleman! Laiti angeendelea kuwa mtoto mzuri hivyo!
Hahahahaha na tuzidi kuomba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…