Thread Maalum : Kuwatambua na kuwaenzi wavumbuzi wa kitanzania.

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,673
40,919
Sasa tupo katika ulimwengu ambao teknolojia ndio msingi wa kila kitu.

Nikimaanisha kwamba Taifa lenye kufanya vumbuzi nyingi ndilo lenye nafasi kubwa ya kuwa na uchumi imara.

Uzi huu ni maalum kwa kuwatambua na kuwaenzi wavumbuzi wa kitanzania, katika nyanja zote zinazohusiana na maisha ya binadamu.

Pamoja na hayo ni katika kutaka kujua tu ni kwa namna gani Tanzania tuna mchango katika maendeleo ya mwanadamu.

Karibuni.
 
Nimevuta mafeelings lakini wapi
Ipo haja ya kuongeza bajeti katika eneo hilo ili malengo yetu ya kuwa Taifa la Uchumi wa kati yaendane na uwezo wa kuwa na teknolojia zetu wenyewe, zitakazoturahisishia shughuli za maendeleo na kuboresha maisha ya watu na dunia ka ujumla.
 
Back
Top Bottom