siku nyingine huwa anabwabwaja?
Lakini kumbuka pipi huwa zinakinai kwa saana tu!!!
Mazee mbona kama umekosea step hapo, hebu siku moja aje mwanamke mbele ya mke wako aseme kakupenda afu utanipa jibu :biggrin:mwanamke akisema nampenda 'mume wa mtu' hakuna hatari
ole wako mwanaume uropoke eti 'nampenda mke wa mtu'
uone utakavyo shukiwa lol
Ukweli ni kwamba japo una mke mimi bado nakupenda sana as if nothing hapen bt sipo tayari kukutana na wewe tena popote,upendo wangu utabki moyoni mpaka atakapotokea mwingine
inawezekana huyo bwana walikutana jf!kila siku statistics ya new members inazidi kuwa juu yani members wanazidi kuongezeka kwa kasi! yani unakuta mtu ana account 7!!
kweli mapenzi wanarun dunia.. pole dada angu Muombe Mungu iko siku huu utakua ushuhuda!!
aka!!!!!!!!!!!!!!!!!!! lolsi wewe na wenzio.
uwiiiiiiiiiiii,madogo yana nafuu ,wala hata hakukupenda alikuwa anakudanganya
Ulimpa tunda?maana watu wasanii sana.
Kama angekupenda asingemuoa huyo ambae alikuwa hampenda,
Pole mwaya jifunze kutokana na makosa .
nshahisi ni nani.......angalia style ya uandishi........Hata mimi niko gizani Mkuu. Naona hakutaka kuzuka na ID yake inayofahamika hapa ndio maana kazuka na hii mpya.
we mtoto,toa kamkono kako hapo!Tulia,Mungu atakupa wa kwako., Huyo hakufai na wala hakuumbwa kwa ajili yako.
umeona eh? na kuna watu watakusalia sala zote za duniani na nukuu kibao za maandiko,nachoka kabisa.mwanamke akisema nampenda 'mume wa mtu' hakuna hatari
ole wako mwanaume uropoke eti 'nampenda mke wa mtu'
uone utakavyo shukiwa lol
nshahisi ni nani.......angalia style ya uandishi........
habari ya siku mingi kongosho,,,,vp mbona unanisema aseeeeh?pole weee
ila kuna wanamme wako kama mashetani
wana nguvu ya kumvuta mwanamke hata kama wana pete kidoleni.
Kama hutaki shida, kaa naye mbali.
Heri nusu shari...
is it true bishanga? hell! no ulishasemaga hujaoa na unalea kina koku mwnyw.Hope,mbona unanisema hadharani? Si ungeniPM tu? Hujui nina wengi humu jf? Au unataka uniharibie? Kwani mimi kuoa ndo nini!
Hata mimi,will always love you,i promise! Hii ya mie kuoa isikutie homa,ni vijimambo tu.
hapo kwny red upo serious kweli?.ngoja kongosho aje kumjibia kwa niaba yake.uwiiiiiiiiiiii,madogo yana nafuu ,wala hata hakukupenda alikuwa anakudanganya
Ulimpa tunda?maana watu wasanii sana.
Kama angekupenda asingemuoa huyo ambae alikuwa hampenda,
Pole mwaya jifunze kutokana na makosa .
hapo kwny red upo serious kweli?.ngoja kongosho aje kumjibia kwa niaba yake.
habari ya siku mingi kongosho,,,,vp mbona unanisema aseeeeh?