Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,602
1,819
Wadau,

Wakati nipo nasoma Graduate, mapedeshee walitinga sana pale IFM kubeba vimwana!!
Mademu tunagonga nao discussion mchana na Jioni, usiku tunashuhudia getini wakiwa wametinga vinguo vyao vya mitego wanatoka, Benzi, Cruisers, n.k. zikiwa zimepaki nje.

Ilikua ikiniuma sana kwa kweli, mpaka nikawa nawachukia mademu class, hasa wale waliokua wakivuka geti enzi hizo.
Yaani wanatuacha sisi makapuku tunao-survive wote kusolve papers na test, wankwenda kuwapa mapedeshee wa mtaani, kisa wanawa-finance!!??

After seven years, nami ni mojawapo ya hao mapedeshee, nina hela za kunitosha pamoja na kuhonga na life ikaenda tu!! Labda tofauti yangu na hao mapedeshee waliokua wakituchukulia ni kua wao walikua wazee kidogo, waheshmiwa Fulani hivi maofisini wakati mimi bado kijana.

Kwakua ile image ya kuchukuliwa bado ipo, na uwezo wa kulipiza sasa upo, akili inanituma nianze kuzungukia vyuoni kusaka mabinti. Tena navyoona posts za selection zinavyojaa, najiambia sooner time will arrive for revenge!!

My time is now, nilivumilia sana kipindi kile kapuku nategemea boom. Nieleweke kua mi sio kicheche, wala sitegemei kupita kila chuo na kila Siku, wala sintolazimisha mtu, bali ile hali ya kuji-feel guilty nisipolipa kisasi!!!
 
...andaa na kaburi na mahitaji mengine muhimu kwenye msiba wako ndugu!
Hebu angalia hoja hiyo...!Kweli ni ya kisasi,ila life is a circle...!We umeangalia na kufuata kile walichokutesa,ila haujasema hao watu ndiyo unawakomoa au unawakomoa akina nani kama siyo unajikomoa.Akili nzuri kwanza ungeeanza kuangalia walipo kwa sasa hao pamoja na maisha yao.Leo unatesa kwa sababu you were potentially to do so wala sio wao waliokushawishi, na hautaacha nakuambia...Ila andaa sasa kila kitu kwa UMASIKINI, hata wa mawazo,jela maana baadaye utaanza rushwa ili upate vya kuhonga,hivyo jiandae kwenda SELO,pia kutoogopa kupiga watu MIZINGA NJIANI, NA pia kwa ajili ya kwenda kule tusikokujua...!!!Kila mmoja anavuna anachokipanda...!!!
 
Wadau,

Wakati nipo nasoma Graduate,
mapedeshee walitinga sana pale IFM kubeba vimwana!!
Mademu tunagonga nao discussion mchana na Jioni, usiku tunashuhudia getini wakiwa wametinga vinguo vyao vya mitego wanatoka, Benzi, Cruisers, n.k. zikiwa zimepaki nje.
Samahani mkuu, sisi wengine hatujafika hizo zinazoitwa elimu za juu, ila ningeomba unisaidie hiyo kusoma Graduate ndio kozi hipi hiyo? maana hata mimi ni form four Graduate.
 
Samahani mkuu, sisi wengine hatujafika hizo zinazoitwa elimu za juu, ila ningeomba unisaidie hiyo kusoma Graduate ndio kozi hipi hiyo? maana hata mimi ni form four Graduate.

Undergraduate = Bachelor/Advance Diploma/1st Degree
 
Masikini akipata ****** hulia mbwata!..jenga maisha kijana hela huja na kuondoka,maisha yatakupiga one day hizo hela unazozitumia kwa ujinga wakati zingeweza kusaidia familia yako utazikumbuka.

CHANCES NEVER COME TWICE
 
Wadau,

Wakati nipo nasoma Graduate, mapedeshee walitinga sana pale IFM kubeba vimwana!!
Mademu tunagonga nao discussion mchana na Jioni, usiku tunashuhudia getini wakiwa wametinga vinguo vyao vya mitego wanatoka, Benzi, Cruisers, n.k. zikiwa zimepaki nje.

Ilikua ikiniuma sana kwa kweli, mpaka nikawa nawachukia mademu class, hasa wale waliokua wakivuka geti enzi hizo.
Yaani wanatuacha sisi makapuku tunao-survive wote kusolve papers na test, wankwenda kuwapa mapedeshee wa mtaani, kisa wanawa-finance!!??

After seven years, nami ni mojawapo ya hao mapedeshee, nina hela za kunitosha pamoja na kuhonga na life ikaenda tu!! Labda tofauti yangu na hao mapedeshee waliokua wakituchukulia ni kua wao walikua wazee kidogo, waheshmiwa Fulani hivi maofisini wakati mimi bado kijana.

Kwakua ile image ya kuchukuliwa bado ipo, na uwezo wa kulipiza sasa upo, akili inanituma nianze kuzungukia vyuoni kusaka mabinti. Tena navyoona posts za selection zinavyojaa, najiambia sooner time will arrive for revenge!!

My time is now, nilivumilia sana kipindi kile kapuku nategemea boom. Nieleweke kua mi sio kicheche, wala sitegemei kupita kila chuo na kila Siku, wala sintolazimisha mtu, bali ile hali ya kuji-feel guilty nisipolipa kisasi!!!

SIO KOSA LAKO NI KOSA LA MFUMO WA ELIMU YETU!!! sasa kama msomi mzima kama wewe una mawazo hafifu kiasi hiki unategemea nini?? achana na mawazo ya kijinga ya kulipa kisasi...kama huna kazi na hizo pesa zako nenda kawape yatima watumie au kajenge madarasa kwenye shule za kata kijijin kwenu!!! kumbukaka BAHATI HAIJI MARA MBILI!!!!
 
Duh! kweli sasa nimeamaini kwamba (our)Tanzanian schools produce ******!
 
Waliokukosea ni hao watoto walioko chuo? Kwa nguvu ulizonazo, si ungewasaidia wasifanye makosa waliyofanya classmates wako? Ukiamua kufanya sin kulipiza kisasi...ujue ndio wewe ulivyo!
 
Duh! kweli sasa nimeamini kwamba (our) Tanzanian Schools produce Id.iot.s
 
Mi niko nawe mkuu Shakir
Imagine mnapanga disscusion na dem mida ya usiku halaf hatokei.
Mida unatoka kula labda unapishana nae getini "anatoka", inazingua sana for sure!!
 
mkuu unahaki kwa kweli,
mkasa wangu kidogo upo tofauti, ni hivi shule niliyoma ilikuwa na both o-level and a-level, sasa pale shule wale wanafunzi wa a-level walikuwa wanatudharau sana sisi wa o-level na hata walimu walikuwa wanawaogopa advance. Ilifika kipindi o-level tulikuwa tunapangiwa kusafisha mabweni yao.. wakati wa chakula hatukuruhusiwa kukaa nao meza moja. Ilinipa machungu sana na nipige msuli wa maana, mwisho wa siku na sisi tukaingia a-level mpk universities za maana ---> ofisi za maana.. wale walionidharau nikukutana nao wanaona hata aibu kuweka wazi elimu zao na wengine wanajifanya hawanifahamu wakifika ofisini.
dunia ni mapito leo wewe kesho mimi lakini siwezi kulipa kisasi, namshukurumungu kwa wema na kunifikisha hapa nilipo
 
Back
Top Bottom