This world is not physical, this world is a simulation

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
2,729
Reaction score
3,498
It only have its own rules, chochote kile utachodhani ni physical, unaweza pia kukipata kwenye ndoto
Ukilala ukaota unaanguka mwili wote utahisi kweli unaanguka, ukiota unafanya mapenzi itakuwa hivyo pia,

Sisi ni wafungwa kwenye hii dunia ambapo ubongo wetu ndo kiunganishi chetu na mahali apa

Updates;
Katika pitapita zangu na kuuliza watu kuhusu ndoto, nilichogundua ni kuwa watu wengi hawakumbuki ndoto wa azoziota, wengine wanaamini kukumbuka ndo ni vibaya na unaweza kupata laana mda wote

Katika mwili wa binadam ubongo ni moja ya vitu visivyolala, hivyo basi kama hujalala unafanyanini, apo ndo jibu la ndoto huja(upande wa akili tunaohisi unalala tunapochoka)
Mimi ni moja ya watu wanaokumbuka sehem kubwa ya ndoto zetu, kwa siku naweza kuota ata ndoto kumi na nikakumbuka ndoto tano au sita vizuri nyingine nikakumbuka kidogokidogo, nikiwa ndotoni japo sina mwili na baadhi ya viungo kuniwezesha ila akili inachukua jukumu lote na kunifanya nijisikie kama binadam aliekamilika japo mwili umelala

Tukichukulia mfano mzuri sehem ya sikio la kushoto ndo inatuwezesha kusikia na kurekebisha balance ya mwili, ila ingawa ndotoni haipo tunapata balance na mda mwingine tunapoteza balance na kujisikia hivyo, ndotoni pia uwa na hisia zote za kuishi ila tofauti ni kuwa kule ni kama dunia nyingine
Kitu cha kawaida binadam wanachoongelea ni kuota unaenda kukojoa, ndoton unafata choo maana kubanwa na mikojo ni kitu kilichoingilia ndoto zako ghafla bila ya akili kujua na kugundua kama uko ndotoni au upo kwenye maisha ya kawaida, na kwakuwa ndo jinsi tulivyo kuwa programmed kuwa hivyo ndo maana inatokea hivyo, otherwise ingetokea ukakojoa automatically au kingine ila sio mtu mzima na macho yake na miguu yake anaenda chooni, na pengine hyo choo unayoiota sio unayoijua, ni mazingira mengine kabisa
So our brain is so familiar with the world kuliko binadam wahisivyo

Vitu vichache tu visivyo kwenye the "laws of the world" ndo huichanganya akili yetu, maana ni vipya kwenye huu ulimwengu
Mfano
1- Ukipindishwa kichwa chini miguu guu utaona kawaida, ila dunia yote ya mbele yako ikipindishwa juu chini we ukawa kawaida kichwa kitauma, ni kama kwenye game la computer kufanya kitu kisicho kwenye codes za computer, lazima gem ligande(li crush)

2- kuna vitu vingine vinachanganya akili kama ukioneshwa, na ukijaribu kuifikilia kwann akili inakuwa hvyo huwezi kuelewa, hyo kwenye magemu ni kama unacheza gem unashangaa character wako anafanya vitu usivyovielewa na gem linaendelea kama kawaida
,,Hii ni kama

( Zimegoma ku upload)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuota ikawa sawa na ninavyohisi nikiwa na ufahamu wangu.
 
alokudanganya kakufanya mjinga, zakuambiwa changanya na zako then utapata jawabu.
 
Ulishawahi kujigonga kwenye Kona ya kitanda yale maumivu unafikiri yanapatikana ndotoni..!! You can't be serious!!
 
simulatiom ukimaanisha kuna ma pilot somewhere wakiwa na kiongozi wao wanatuchezesha watakavyo?
 
That means we are not only living in simulation but we are one in the simulation. So do you consider yourself to be a spiritual person?
How can you distinguish between a dream and simulation?
 
Ndoto zimegawanyika aina mbili. Ndoto za kweli na kinyume chake.

Ahsante.
 
Sijui hata alikuwa anaongelea nini ndio maana na mimi nimeishia kumuuliza maswali.
Ndoto zimegawanyika aina mbili. Ndoto za kweli na kinyume chake.

Ahsante.
Ongeza nyama, ili utupe faida.
Ulishawahi kujigonga kwenye Kona ya kitanda yale maumivu unafikiri yanapatikana ndotoni..!! You can't be serious!!
Our mind is what bends everything, it can even bend your body, ata evolution huanza akilini
Kuna vitu vingi nilikaa nikajiuliza, adi naandika hivi i mean what i say

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo tumefungwa kwenye mwili?
Na kwanini tufungwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…