Hakina mvuto kiukweli hicho kipindi mi sijui kingleza[emoji847][emoji847][emoji847] naskiaga tu katikat ya mazungumzo yao huku wanaweka sura siriaz wanalitajataja jina flani maarufu kwa lengo la kupaisha kifupi hua sipend coz by ze tym nakua nimeishiwa bando la kin'gamuzi ndo hua naangalia hzo mambo