This video made D.Trump President of USA!

Siku 15 za mwisho kampeni za trump nilikua nipata live ,
Jamaa alikua anamwaga madini balaa.
 
Trump hajui umaskini unafananaje; so determined person; mzalendo wa kweli wa taifa lake; msomi wa Harvard; asiyeamini kushindwa; fighter wa ukweli ulitegemea nini. Tatizo wengine siasa kwao ni kipato; Trump tangu enzi ana private jet na mansions za kutosha worldwide. Acheni ushamba; hakwenda ikulu kutafuta maisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom