donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Sep 16, 2013 #1 Pharell williams was born on April 5, 1973. Kwa sasa huyu jamaa ana 40yrs old and here is how he looks now. Attachments Pharrell-Williams.jpg 17.4 KB · Views: 226
Pharell williams was born on April 5, 1973. Kwa sasa huyu jamaa ana 40yrs old and here is how he looks now.
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Sep 16, 2013 #2 Ana babyface huyo na kweli amekaa kama katoto....
NIGGA JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 1,239 Reaction score 641 Sep 16, 2013 #3 Hawa jamaa huwa wanazingatia sana misosi na mazoezi kwa sana wabongo full kumix madude na ngano with no mazoezi...
Hawa jamaa huwa wanazingatia sana misosi na mazoezi kwa sana wabongo full kumix madude na ngano with no mazoezi...
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Sep 16, 2013 #4 Mh! Kibongo bongo ni mtoto wa miaka 16
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Sep 16, 2013 Thread starter #5 NIGGA said: Hawa jamaa huwa wanazingatia sana misosi na mazoezi kwa sana wabongo full kumix madude na ngano with no mazoezi... Click to expand... Kwel kabisa mkuu
NIGGA said: Hawa jamaa huwa wanazingatia sana misosi na mazoezi kwa sana wabongo full kumix madude na ngano with no mazoezi... Click to expand... Kwel kabisa mkuu
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,582 Reaction score 3,272 Sep 17, 2013 #6 kuna mili bana....mili midogo midogo kama hiyo mzee kukuta amezeeka ni nadra sana tofauti na kibonge