This lady, I need your advise

She is not faithful ,she is a hoe.
If she has a man, and still she is trying to show you some interest.. she is playing emotional games with you..
As man i advice you to bail out. Stop chasing her, she will come to you and when she does ask her about her boyfriend then leave her there.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ujiandae kuchapiwa baada ya kufunga nae ndoa maana kitanda hakizai haramu pia.
 
Nigga that chick ain't in to you bruh, just dig it and stop putting all that pressure in pursuing her ya feel me!
Lay low and let things flow...She is somebody else happiness!
 
kwa waliosoma st. kayumba

"
Kuna mwanamke huyu nimekuwa akitafuta na nataka kuifanya kuwa mbaya (ndoa). Mimi mara moja nilimwuliza kama ana mvulana na akasema ndiyo. Baadaye alianza kuonyesha maslahi. Kwa hiyo niliamua kumfuatilia tena na nikamruhusu ajue jinsi ninavyojisikia juu yake na kila kitu. Amekuwa akijibu kikamilifu na tungekuwa na mipango ya kukutana wiki ijayo. Ilikuwa jana usiku tu niliona kuwa ameweka picha ya wasifu wa kijana fulani alimtaja yeye kama Beib na anayependa afya yake nzuri kwa sababu alikuwa mgonjwa. Kwa hiyo nilishangaa kabisa kwa sababu hakuwahi kuinua suala la mpenzi au hivyo katika mazungumzo yetu ya hivi karibuni. Kwa hiyo niliamua kutoa maoni juu ya hali yake na kumwuliza ni nani aliyekuwa. alisoma ujumbe wangu na hakuitikia. Kwa kuongeza yeye aliondoa haraka hali hiyo ya whatsapp ya mume aliyeweka. Sijazungumza tena kwa simu. Kwa hiyo nadhani kama ni lazima tuondoke jambo hili na basi mwanamke aende au njia yoyote kwa sababu ninaipenda mwanamke na nimekuja katika mechi ya kuchelewa, ni lazima kuendelea kuendelea kumtafuta na kumtia nguvu / kumtia shinikizo kufanya uamuzi kwa upande gani .

"

Credit: Google Translator
 
Ukisoma kama vile unaongea kiswahili ya Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Demu yupo mkoa gani sahizi?mbn kama story ina relate na my gf!serious
 

That lady is not worth your time.....if you are not careful enough you'll end up being her slave. She's showing you that she's mali ya wote.
 
Kama mwanamke atakosa msimamo hiko unachosema kitatokea
Sasa ulishaona msimamo kwa ma hawara? Kilichomfanya akubali kumvulia chupi mwanzo ndio hichohicho kitamfanya avuliwe chupi akiwa keshavishwa pete.
 
Sasa ulishaona msimamo kwa ma hawara? Kilichomfanya akubali kumvulia chupi mwanzo ndio hichohicho kitamfanya avuliwe chupi akiwa keshavishwa pete.
Sio kila mwanamke ana akili hiyo...wengine wakisha move on ndio kimoja

Kwa point yako basi hata uliyenaye akikutana na ma-ex zake wanamvua unless ulimkuta bikra
 
Sio kila mwanamke ana akili hiyo...wengine wakisha move on ndio kimoja

Kwa point yako basi hata uliyenaye akikutana na ma-ex zake wanamvua unless ulimkuta bikra
Nina amini hivyo, so huwa niko sensitive sana na watu anaowasiliana nao mpenzi wangu.
 
Sio kila mwanamke ana akili hiyo...wengine wakisha move on ndio kimoja

Kwa point yako basi hata uliyenaye akikutana na ma-ex zake wanamvua unless ulimkuta bikra
Japo nakubali kuna wanawake wana misimamo mikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…