G GENERARY Member Joined Aug 31, 2012 Posts 95 Reaction score 17 Apr 7, 2013 #2 kwakuwa university ni universal kozi ziko nyingi pamoja na unayopenda
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Apr 7, 2013 #3 Raha Kuwa mwalimu...
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Apr 8, 2013 #4 Hata ukiwa mwalimu sio wewe unaofaidi........maana hupati kuona kwengineko
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Apr 8, 2013 #5 MadameX said: Hata ukiwa mwalimu sio wewe unaofaidi........maana hupati kuona kwengineko Click to expand... Nani kakundanganya? Fanya uchunguzi wa kina zaidi utajua mambo.
MadameX said: Hata ukiwa mwalimu sio wewe unaofaidi........maana hupati kuona kwengineko Click to expand... Nani kakundanganya? Fanya uchunguzi wa kina zaidi utajua mambo.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,823 Reaction score 55,617 Apr 8, 2013 #6 Ukimfanyia vibaya mtoto wa mwenzio jua na wako atafanyiwa vivyo hivyo.
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Apr 8, 2013 #7 Na muda wako wa kuishi duniani pia utakuwa sawa na matendo yako.
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,853 Apr 8, 2013 #8 Mtoto halali na hela said: Ukimfanyia vibaya mtoto wa mwenzio jua na wako atafanyiwa vivyo hivyo. Click to expand... hiyo laana ni ya kuivunja mana mtoto kakosa nini......uchafu wa baba alipizwe mtoto?........
Mtoto halali na hela said: Ukimfanyia vibaya mtoto wa mwenzio jua na wako atafanyiwa vivyo hivyo. Click to expand... hiyo laana ni ya kuivunja mana mtoto kakosa nini......uchafu wa baba alipizwe mtoto?........