This is what money can’t buy

Watoto siku hizi wanaelewa ninyi.. Ohh jidanganyeni tu. Yani they understand. Wana mute tu . 😂😂😂😂😂
 
Watoto siku hizi wanaelewa ninyi.. Ohh jidanganyeni tu. Yani they understand. Wana mute tu . 😂😂😂😂😂
Ahahahahahahah.
Dah kwel kabisaa.
Siku mwanangu akiwa likizo kwa babu yake wakawa wanapiga stori basi katika ya maongez dogo akamwambia babubyake kuwa " baba angu (mm yani) hana hela kama ww,hana gari kama ww".
Imagine ni mtoto wa miaka 6 tu
 
Ukiwa karibu na watoto utajua wanajua vitu vingi mnoo... Be their friends.. Sio tu Baba Baba mtoto mtoto...
Cheka nae cheza nae tembea nae..

They Know a lot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…