2GB ya kwanza inakua spidi, then wanapunguza inakua kobe, useless kabisaElf 10 GB 10 mwezi
hamia congo mkuuhawa wanaweza kuamka hata kesho na kusema hairuhusiw kutumia internet mpaka uwe na chet cha form four na ikawa ivyo hii ni moja ya ajenda kubana uhuru wa habar maana uko ndio umbea unapatikana na sio TBC wala ITV online ni vurugu lkn mtambue kuwa sisi wengine tunatumia kwa kaz
mitano tenaYaan leo ndio nimechoka km hali ndio hii hii serikal sidhan km ipo kwamaslah ya wananch bali ipo kwa maslah yake yeye yenyewe
Majuzi juz apo nilimsikia spika akisema kuwa sijui wapandishe kodi ili vijqna wasipate mda wa juingia mitandaon bali wafanye kaz sikujali sn nikapuuza ile taarifa
Ebwana eeh kumbe jamaa alikuwa kazamilia leo bando langu la mwez limeisha sasanataka nijunge la mwez tena dah aisee vifurush vimepunguzwa airtel 8GB ilikuwa 10000 saiz 10000 ni 3GB na tigo ilikuwa 10000 ni 7GB lakn saiz 10000 ni 2.5 GB how !!!!
Kama ndio nchi inaendeshwa kwa mawazo ya watu wachache tumekwisha hawa wanaweza kuamka hata kesho na kusema hairuhusiw kutumia internet mpaka uwe na chet cha form four na ikawa ivyo hii ni moja ya ajenda kubana uhuru wa habar maana uko ndio umbea unapatikana na sio TBC wala ITV online ni vurugu lkn mtambue kuwa sisi wengine tunatumia kwa kazi.
Twitter haimaliza mbUkiwa una mb kidogo una visit text related website kama JF, Twitter, fb etc sababu hazili bando sana.
Ukiwa na mb za kutosha una stream movies, unaingia YouTube, una stream games etc.
Kupunguza mb hakusaidii Watu kuongeza online Bali kuna ongeza Watu kuongea online sababu hata wale wanaoshinda kuangalia series watahamia JF na Twitter/FB sababu ndio vitu vinavyo kula mb kidogo.
Duh! Acha mkuu nao wasije wakatunyanyukia maana niko humo na mimi nifanye kuenjoy wakat huo pamoja na kwamba niko kibanoni.Duuu! Ni leo hii mbona halotel bado sijaona tofauti
mwenye ugali akumbuki mwenye njaa yani ajira tukose na internet tukose? wao tukiziongelea posho zao wanakaa futi miaYaan leo ndio nimechoka km hali ndio hii hii serikal sidhan km ipo kwamaslah ya wananch bali ipo kwa maslah yake yeye yenyewe