kupanga ni kuchagua ukiweza ongeza na totoo kabisa [emoji23]Guys nimekaa nimewaza na kuwazuwa nikaona acha nifunge mwaka na zawadi flani hivi ndogo ila ina thamani kimtindo
Nataka nimchukulie wifi yenu iPhone 13 wenyewe wanaiita macho 3 najuwa sio latest ila naamini ataipenda
Guys nafanya yote kwa sababu ya mapenzi siangalii kama atanipiga matukio mbele huko au vipi...kama ni wa kujielewa atajielewa kama sio wa kujielewa hatojielewa hata kama nisipo mpa zawadi.
Wanawake wameumbwa kwa ajili ya kupendwa,kudekezwa,kutunzwa acha nimspoil mpenz wangu ni wakati wake huu.
Nb:mzawadie mpenz wako kwa kile ambacho unauwezo nacho....nampenda sana mpenz wangu huyuView attachment 2441506
Kuhusu wazazi usiwaweke kabisa hapo priority yao ni kubwa sana mzee kuliko huyo mwanamkeKama una wazazi au ndugu wanategemea msaada toka kwako uwafanyie pia hasa kwenye mahitaji muhimu kwao hasa kipindi hiki Cha kuelekea mwisho na mwanzo wa mwaka ujizolee mibaraka kuanzia mwaka
Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Nao umewapa zawadi gani???Kuhusu wazazi usiwaweke kabisa hapo priority yao ni kubwa sana mzee kuliko huyo mwanamke
Guys nimekaa nimewaza na kuwazuwa nikaona acha nifunge mwaka na zawadi flani hivi ndogo ila ina thamani kimtindo
Nataka nimchukulie wifi yenu iPhone 13 wenyewe wanaiita macho 3 najuwa sio latest ila naamini ataipenda
Guys nafanya yote kwa sababu ya mapenzi siangalii kama atanipiga matukio mbele huko au vipi...kama ni wa kujielewa atajielewa kama sio wa kujielewa hatojielewa hata kama nisipo mpa zawadi.
Wanawake wameumbwa kwa ajili ya kupendwa,kudekezwa,kutunzwa acha nimspoil mpenz wangu ni wakati wake huu.
Nb:mzawadie mpenz wako kwa kile ambacho unauwezo nacho....nampenda sana mpenz wangu huyuView attachment 2441506
Hongera Mkuu.Guys nimekaa nimewaza na kuwazuwa nikaona acha nifunge mwaka na zawadi flani hivi ndogo ila ina thamani kimtindo
Nataka nimchukulie wifi yenu iPhone 13 wenyewe wanaiita macho 3 najuwa sio latest ila naamini ataipenda
Guys nafanya yote kwa sababu ya mapenzi siangalii kama atanipiga matukio mbele huko au vipi...kama ni wa kujielewa atajielewa kama sio wa kujielewa hatojielewa hata kama nisipo mpa zawadi.
Wanawake wameumbwa kwa ajili ya kupendwa,kudekezwa,kutunzwa acha nimspoil mpenz wangu ni wakati wake huu.
Nb:mzawadie mpenz wako kwa kile ambacho unauwezo nacho....nampenda sana mpenz wangu huyuView attachment 2441506
Natamani nimtag mmoja hapa π π π πNdio nawapa somo hapa