This is not fair kabisa!!!!!

Kweli lakini, mwanaume anaonekana kidume tena anao uwezo wa kujigamba hata mbele za watu lakini hakuna atakaeponda, ila jinsia ya upande wa pili siku zote wanachukuliwa kitofauti sana, au wanaweza hata pewa majina ya ajabu ajabu kama Maharage ya mbeya, Mwendo, Chupi mkononi, Cha wote.

Masterkey
naongopa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…