This Is Not Dubai

Mafundi tulishajua tu baada ya kuona vitu kama capacity, transistor, na AC!! Pia hiyo mother board itakuwa mbovu kwani kuna kitu nimegundua kimeungua hapo. Ni PM kwa msaada zaidi!!
Kan kuna mtu Kasema Anashida

JF buana
 
Mafundi tulishajua tu baada ya kuona vitu kama capacity, transistor, na AC!! Pia hiyo mother board itakuwa mbovu kwani kuna kitu nimegundua kimeungua hapo. Ni PM kwa msaada zaidi!!
Mheshimiwa fundi hivi ni capacitor? IC ? Au capacity,ac?
 
hapo naona RAM slot, Processor slot, extension card slot, cmos battery slot, lakini naona kuna kamchezo kamefanya hapa maana naona kama kuna motherboard zaidi ya moja. Angalia jinsi port za mouse, keyboard, sound, ethernet, usb. kuna sehemu mbili tofauti pana ethernet, slots za RAM ziko sehemu tano tofauti tofauti. cmos battery slots ziko mbili sehemu tofauti, moja ina battery nyingine empty.Naona processor slots ziko tatu sehemu tofauti tofauti. ngoja niishie hapo.
 
Huu mchezo nimeanza kuuelewa toka nina 5yrs, baada ya kuona picha ya mji mmoja hivi huku nimeshika sakiti ya redio.

Hii ilinifanya kuamini 100% kwenye redio kuna watu wanaishi.maana kuna majengo pia.
 
Mafundi tulishajua tu baada ya kuona vitu kama capacity, transistor, na AC!! Pia hiyo mother board itakuwa mbovu kwani kuna kitu nimegundua kimeungua hapo. Ni PM kwa msaada zaidi!!
Wewe ni Fundi mchundo! Capacity ndo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…