This is my true story

hakika huyo Malaya amepata adhabu inayomstahiki

mchumba asomeshwi hio ni kazi ya baba ake acha kuingilia majukumu ya watu
 
Kuna watu wanachekesha sana asee....wanafanya mapenzi yaonekane ni kitu muhimu sana kwa mwanadamu kama maji vile,acha ushamba mkuu,grow up.
 
Kilichoniuma hapa ni janeth kufa tu.

Yaliyobaki wacha yakupate, wanaume hamjui mnataka nini mkikutana na waliopambana wakajisomesha mnaleta nyodo😁😁😁😁

Kazi ya mwanaume ni kutoka mahari na sio kumsomesha Mke ambae huna uakika kama utamuoa.

Ahaaa mbavu zangu, eti mchumba yupo nje anasoma au anafanya kazi nikisikiaga huu upuuzi napatwa na hasira, jitu unalisubiri miaka yote kwa uaminifi mara unaskia ana mzungu, Mara mtoto.

Ndugu mwanasheria, wacha yakupate tugawane maumivu😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Dhambi ya usaliti haiwezi mwacha mtu salama, janeth ulipendwa ilibidi upendeke, rip janeth.
 
Pole ndg ila ukweli tunapishana akili.Dhuluma haidumu na ikidumu ina madhara makubwa mno.
Wanawake wapo wengi acha kuumiza moyo yule siyo mama yako.Ukute mama yako yupo na humpendi hivyo.Asiyekupenda hata umfanyieje unajisumbua hata hilo kaburi linakushangaa.
 
Dah.. Pole sana ndugu..
 
huu ndio ukweli japo ni mchungu
 
Hafu kitu kingine mkuu

Don't fear change. You may lose something good, but you may also gain something great.
 
Jamaa mtunzi mzuri kweli. Haiwezekani mwanafunzi level ya master tena ya USA unaandika hivyo.
 
Pole mkuu..ila mimi naonaga kama unahela ya kufanya yote hayo kwa mwanamke bora tu ufunge nae ndoa au akupe hata mtoto..kuliko kujifanya unajua kumpenda..ona sasa..
 
Pole sana mkuu , jua sio peke yko sote tuna story za maumivu tena maumiv makali but we chose to move on

And life must goes on
 
We mwanamke ni kichomi
 
Mkuu mleta uzi soma alicho andika dada hapa na nilicho andika mimi havina tofauti. Naomba tusiwalaumu hiyo ndio nature yao walivyo umbwa.

Hakuna long distance relationships inayobaki salama. Katika 10 ni 0.5 tu.
 
Huu mwandiko bwana na mtu wa masters Marekani naona vinaendana kabisa
 
If you’re not losing friends then you’re not growing up.
Thanks for the advice, but the real issue is that no one is perfect if you keep on changing, u may end up changing everyday. The most important thing is if you are aware of someone's characters then go according to his/ her flows with caution if he/she benefits you....but if he/she doesn't have any merit then let the friendship fade away.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…