This Is For you Miss Chagga!!

Mhh....!!tutaonana wabayaa aaah.....x 2
Umenikatia denge au ndo Swaga?unajua anakokaa wewe?Au ndo illusion?
Aya Miss chagga njoo uthibitishe kati ya mimi na huyu ----- sir Nature unampenda nani?(Kisa demu by Nature)
Namiliki Bastola aisee!!
ile bastola yako ujatupa bado.... mmmh ngoja nikamuulize mama nani anamtaka
 
Mkuu huyo kazoea pizza na samaki samaki. .. huku Rombo atayaweza magimbi kweli!!

Ye hata magimbi atakula juu yako.
Amekutime siku nyingi kweli, lakini nashangaa hutangazi nia.
Ng'oa mtoto huyo uburudike na hivyo siku izi lami hadi Tarakea raha iliyoje?
Tuenende tukiukomboa wakati..so usichelewe sana.
 
Ye hata magimbi atakula juu yako.
Amekutime siku nyingi kweli, lakini nashangaa hutangazi nia.
Ng'oa mtoto huyo uburudike na hivyo siku izi lami hadi Tarakea raha iliyoje?
Tuenende tukiukomboa wakati..so usichelewe sana.

Sasa inabidi nimuandalie ka mwaliko kake... maana hapa tumezamia mwaliko wa miss chagga...
 
Last edited by a moderator:
karibu mae! hebu thibitisha hapa wewe..watu tokea usiku wa manane tunakungoja hapa afu unakuja na story za kumuuliza mama?

Bora mkuu kiwatengu umuulize kwa mara ya pili maana naona anajiuma uma au mimi nilikua spare tyre?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…