GE2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

Cha ajabu huyu jamaa ....naona kamsifia mgombea ...then ananza kumsema tena juu ya yale aliyomsifia ...kuwa kajenga shule kila kata, ninamashaka nae tena sana ......lakini sishangai sana maana alikuwaaga mpinzani wa huko aliko yawezekana au mwezi mchanga maana aelewekieleweki hivi....
 
Kawaida mwimba pambia anajua pambio lake lina beti ngapi na jumbe ngapi ndani yake.Ishi uone mengi kwa mujibu wa wahenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…