Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,172
Waliokuwa educated wana shida gani?Kwenye well educated napinga. The less educated she is, the better woman she is.
Mengine utajua mwenyewe
Nikajua uvivu wako tu....pole.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulidhani mimi nimedanganya nilipoita mkalimani eeehhh
Nina uhakika tukiambiwa tutafsiri kila mtu atatoa tafsiri tofauti na mwenzio, lazima zitofautianeNikajua uvivu wako tu....pole.
[emoji5]
Huo uwalakin ame uweka kama ku poke fun siyo kama yeye hoja yake ndio hiyo.pamoja na vigezo vingine educated women amesema wana walakini,sasa wewe unasema unapinga badala ya kuunga hoja,lol
Huo uwalakin ame uweka kama ku poke fun siyo kama yeye hoja yake ndio hiyo.
Kauli yangu ina simama simuungi mkono hoja. Pia Siyo wana walakini (dodgy)
Ni wabovu abslutely, kwa hiyo simuungi mkono kusema eti something dodgy
Nashukuru lakini kwa concern yako, my point stand.
Wana perspective mbovu za mahusianoWaliokuwa educated wana shida gani?
Nashukuru may be akija yeye ana clarify kasema nini maanahaya mkuu,ngoja nikuache
Haha,yalikutokea nini, ila sio wote mbona super woman Joyce kiria yupo opposite na mtazamo wakoWana perspective mbovu za mahusiano
Na si wasikilizaji saana bali wazungumzaji zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha,yalikutokea nini, ila sio wote mbona super woman Joyce kiria yupo opposite na mtazamo wako
Sasa sipati picha super woman kiria angekuwa amesoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sipendi mwanamke anaye jifanya ana jua
Na super woman ni mmoja wao.
Ndio maana unaona akili zake.
But yule aiyo msomi ika ana career nzuri ndio ina mspoil
HaaaaSasa sipati picha super woman kiria angekuwa amesoma
Wewe umemuelewa?Mmh!
AiseeeHaaaa
Angeenda shule yule tungepata shdaaa. Ila inaonekana pia asili yake personally ni mtu wa pride sana yule
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndo umesemajr hapo jaman.? Kiswahili bhanaKwenye well educated napinga. The less educated she is, the better woman she is.
Mengine utajua mwenyewe
HahahahaNdo umesemajr hapo jaman.? Kiswahili bhana
Hapana kwakweli.Wewe umemuelewa?
Kwamba na mm sijasoma eti shem?Hahaha
Shem
Nambie super woman
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Gugo wamenikalimia hivi
================
Mwanamke mzuri ni ambaye ana kazi nzuri, mwenye ujuzi na mwenye ujuzi, ni tajiri na hajawahi kuwa katika uhusiano na ni virigin ingeweza kusababisha kengele ya wanaume kuwa kitu kinachojitokeza juu yake