Asante kwa kuniiunga mkono my Dear, mimba ya mwisho ya mke wangu tuli-do hadi kesho yake nampeleka Leba, kikubwa ni kufanya kwa ustaarabu sio vita.....tatizo wengi wetu wanajua ilekitu ni hadi utoke jasho, umkunje mwenzio as if unapiga mwizi......
Elli shikamoo!!!tena rahaaaaa bila hata jasho, hata mi mimba ya kwanza nimeduu usiku by saa nne, sa tisa usiku uchungu ukaanza, ingawa ulikuwa ni false labor pain, nikaenda nikalala one day hospital, nikadeliver!!!