This dress.

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Vipi hii nguo ni ya heshima au ya aibu?
 

Attachments

  • Gracie-Carvalho-3.jpg
    244.8 KB · Views: 235
Sio ya Heshima kwenda nayo Ofisini ila ni ya Heshima kuwa nayo beach...kila kitu hutegemea mazingira!!
 
Ya aibu kabisa hiyo. huwezi kwenda nayo hata kwa mama mkwe kuombea chumvi. Nguo yenyewe inaonyesha kila kitu ndani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…