This copy of windows is not genuine

This copy of windows is not genuine

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,230
Wakuu natumia win 7 ultimate, lakini toka jana kila napoiwasha PC inaleta hiyo error then inanambia niregister window yangu. Nimejarib keys kibao za google zimegoma, pia nimejaribu ile ya MziziMkavu ya rearm but imegoma pia, pliz msaada wakuu maana nimeanza kutishika coz background screen i,ekuwa nyeusi kabisa
CC; chief_mkwawa e2themiza NingaR
 
Tafuta window 7 looder,ukiifungua itacrack na kurestat komputer yko na kuifanya hyo window kuwa genuine
 
dude download window ambayo imeshacrackiwa u just go 2 piratebay.u may find your solution
 
Wakuu natumia win 7 ultimate, lakini toka jana kila napoiwasha PC inaleta hiyo error then inanambia niregister window yangu. Nimejarib keys kibao za google zimegoma, pia nimejaribu ile ya MziziMkavu ya rearm but imegoma pia, pliz msaada wakuu maana nimeanza kutishika coz background screen i,ekuwa nyeusi kabisa CC; chief_mkwawa e2themiza NingaR
japo hapo sikutajwa lkn nafikiri naweza nitoe kamchango humu kuna mtu alli-attach kasoftware kanaitwa REMOVE WAT we tafuta uzi una jina kama lako suluhisho utapata
 
Mkuu awali ya yote kama umefanya installation ya windows na baada ya kuangalia ukakuta haijaactivetiwa tafuta windows 7 activators unaenda google na kuingiza hilo neno unaangalia site ambazo hawachajiwi yani ni free ndio unaiweka kama inagoma piga chini
 
Wakuu natumia win 7 ultimate, lakini toka jana kila napoiwasha PC inaleta hiyo error then inanambia niregister window yangu. Nimejarib keys kibao za google zimegoma, pia nimejaribu ile ya MziziMkavu ya rearm but imegoma pia, pliz msaada wakuu maana nimeanza kutishika coz background screen i,ekuwa nyeusi kabisa
CC; chief_mkwawa e2themiza NingaR
Kama ulivyo elezwa hapo juu tafuta Windows 7 loader, pia jambo hili ikumbukwe na watu wote kua ni muhimu ku activate windows kabla ya kuanza kupata notifications kuepuka usumbufu
 
Wakuu natumia win 7 ultimate, lakini toka jana kila napoiwasha PC inaleta hiyo error then inanambia niregister window yangu. Nimejarib keys kibao za google zimegoma, pia nimejaribu ile ya MziziMkavu ya rearm but imegoma pia, pliz msaada wakuu maana nimeanza kutishika coz background screen i,ekuwa nyeusi kabisa CC; chief_mkwawa e2themiza NingaR
remove WMG au HII NDO NOMA ushindwe ni wewe 2,,,na kuwa mchoyo ukose kugonga like na ukose kuleta feedback
 
Hata mimi miaka ya nyuma nilikuwa naiona hata siihangaikii lakini siku nimeonja asali, mizinga nilitegesha hadi chumbani ingawa nyuki hawafiki.
 
download windows loader halafu fanta installation windows itakua activate. windowsloader209.jpg
 
Back
Top Bottom