Nime try kutumia number ingine ya WhatsApp nikatumia WHATSPP GB , nimepigwa ban [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36] hawa jamaaa watanimaliza nitumie official Application tu sasa.
Nimekuwa natumia GB whatsapp miaka mingi sasa juzi nikasema nidownload whatsapp ya kawaida aisee Iligoma kabisa kuinstall...!! Ni kitu haiajawahi tokea kabisa kwenye app yoyote kwangu nahisi wameb
Nimekuwa natumia GB whatsapp miaka mingi sasa juzi nikasema nidownload whatsapp ya kawaida aisee Iligoma kabisa kuinstall...!! Ni kitu haiajawahi tokea kabisa kwenye app yoyote kwangu nahisi wameban sijui