Mimi pia yamenifika.Pamoja na kudownload official version toka piay store huku nikisajili kwa namba mpya ,account hiyo mpya ilidumu masaa machache ikafungiwa nayo.Watakuwa wamenitrack kupitia jina?

Aisee baada ya thread za malalamiko ya watu kula ban za maisha, nimesurrender rasmi, nimerud official WhatsApp kutoka yowhatsapp maana nina namba moja Tu ambayo inatambulika kwa wotee na ina groups muhimu sana nisije nikajilaumu