This accessory is not supported by this device.

shauwkan

Member
Joined
May 16, 2018
Posts
28
Reaction score
10
Habari ndugu zangu kwa wale munaoweza kunisaidia ufumbuzi wa tatizo hili, Natumia iPhone ila kuanzia juzi nikiiweka kwenye charge inaniletea hyo error.
Nilikuwa nataka kufahamu nn tatizo hapa?
 
Ni kwamba iPhone yako haitambui charger unayotumia. Tumia original charger ya kifaa hicho. Vinginevyo kitabakia kuwa pambo tu.
 
Acha kununua v waya bya sh buku 5 sijui buku 7 hzo n fek kanunue original ndo hlo tatzo huta liona
 
Binafsi natumia waya original,haijawahi kusumbua mpaka nilipo update ios 12.0.1 ikaanza kutuma huo ujumbe,kisha ikagoma kabisa kutumia waya huo kwa charge,mpaka nilipo badili,waya bado ni mpya lakini ndio hivyo tena.
 
Ok sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…