mwinyi
Senior Member
- Apr 11, 2008
- 149
- 155
Habari wadau,katika pitapita yangu nimekutana na hii kitu kinaitwa mbinu 36 za kukabiliana na mpinzani wako.
Nimejaribu kudadavua kwa uelewa wangu mdogo nikagundua hii ni copy and paste of how URT is operated. The same strategies have been implemented in various occasions.
Kwa sasa Jiwe anatumia strategy ya Kill with a borrowed knife (the issue of the CAG and Speaker).
Is a borrowed knife is a Speaker??
Tujadiliana mwenye maoni kuhusu hili.