mwenyewe taarifa sahihi atujuze jamanNafkir aliyeuliza hapo juu alimaanisha third round kwa diploma
mkuu vipi? heb tupe source ya information isee kuhusu hyo attachment, lkn pia hapo alkuwa anazungumzia kwenda degree au diploma??aya xx tarehe 5 iyo mpoo tiari kupokea majibu
mkuu vipi? heb tupe source ya information isee kuhusu hyo attachment, lkn pia hapo alkuwa anazungumzia kwenda degree au diploma??
Ok poa mkuu nimeliona kwenye web ya nacteHiyo inahusu maombi ya Certifacate na Diploma