Jaman mm ni muhanga wa third round, nmejarb kulogin kwenye profile yang nkajarb kuedit na kuadd program, cha ajabu inakubali wakati deadline ilikuwa jana 14/10 tafadhar mwenye uelewa kuhusu jambo hili anisaidie, sielew hapo inakuaje wakuu.
Wale wa AJUCO waliokuwa provisionally selected majina ya 2nd batch yametoka ingia kwa website yao uone na uache kupoteza muda wa kuingia CAS kila wakati ukiangalia confirmation,hata mimi nimekuwa mtumwa wa hii CAS ila sasa basi na sitaki hata kuisikia.