Silivian Member Joined Nov 13, 2022 Posts 90 Reaction score 218 Jul 21, 2025 #1 Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu!
Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu!
Papillon 1906 Senior Member Joined Jun 19, 2025 Posts 117 Reaction score 387 Jul 21, 2025 #2 Plata O plomo
Leloo June JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 1,012 Reaction score 945 Jul 21, 2025 #3 Jichanganye
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,243 Reaction score 112,038 Jul 22, 2025 #4 Wengi hawatakuelewa ila nimekuelewa
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,105 Reaction score 82,659 Jul 22, 2025 #5 Silivian said: Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu! Click to expand... True
Silivian said: Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu! Click to expand... True
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,627 Reaction score 22,406 Jul 22, 2025 #6 Silivian said: Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu! Click to expand... -- Una hoja. Hoja yako inafanana kabisa na hoja/mtazamo wa FID Q - hasa kama ulisikiliza hii album KitaaOLOJIA
Silivian said: Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu! Click to expand... -- Una hoja. Hoja yako inafanana kabisa na hoja/mtazamo wa FID Q - hasa kama ulisikiliza hii album KitaaOLOJIA
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,361 Reaction score 5,614 Jul 22, 2025 #7 Silivian said: Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu! Click to expand... Anasemaje huyu bwana?
Silivian said: Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu! Click to expand... Anasemaje huyu bwana?
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,444 Reaction score 105,624 Jul 22, 2025 #8 Mwl.RCT said: -- Una hoja. Hoja yako inafanana kabisa na hoja/mtazamo wa FID Q - hasa kama ulisikiliza hii album KitaaOLOJIA View attachment 3413994 Click to expand... Bonge 1 la album
Mwl.RCT said: -- Una hoja. Hoja yako inafanana kabisa na hoja/mtazamo wa FID Q - hasa kama ulisikiliza hii album KitaaOLOJIA View attachment 3413994 Click to expand... Bonge 1 la album
wa ngarenaro Member Joined Sep 12, 2013 Posts 15 Reaction score 8 Jul 22, 2025 #9 Leloo June said: Jichanganye Click to expand...
Papaah JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 2,412 Reaction score 3,453 Jul 22, 2025 #10 Au sio... We umejifunza kwa nani na hali yako ikoje?
W waleed012 JF-Expert Member Joined Jan 20, 2025 Posts 1,322 Reaction score 1,911 Jul 22, 2025 #11 Enhe tuambie hali yako nasie tuanze
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 6,016 Reaction score 8,762 Jul 22, 2025 #12 Kuna kaukwel
oldbull JF-Expert Member Joined Jun 6, 2015 Posts 380 Reaction score 672 Jul 22, 2025 #13 GUI1 said: Anasemaje huyu bwana? Click to expand... Kwa wewe umeelewa anasema uuze madawa, sikulaumu! ila fikiria hajasema hvo
GUI1 said: Anasemaje huyu bwana? Click to expand... Kwa wewe umeelewa anasema uuze madawa, sikulaumu! ila fikiria hajasema hvo
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,591 Reaction score 23,225 Jul 22, 2025 #14 pAblo napenda tu story yake kwanza akaoa kibinti kidogo sana,baadae akaleta michepuko kukaa nayo home kwake na mkewe,yaan michepuko sio mmoja na mke akawa katulia Kuoa mwanamke mdogo raha sana,yaan unamtreat kama binti yako tu
pAblo napenda tu story yake kwanza akaoa kibinti kidogo sana,baadae akaleta michepuko kukaa nayo home kwake na mkewe,yaan michepuko sio mmoja na mke akawa katulia Kuoa mwanamke mdogo raha sana,yaan unamtreat kama binti yako tu
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,361 Reaction score 5,614 Jul 22, 2025 #15 webroyalz said: Kwa wewe umeelewa anasema uuze madawa, sikulaumu! ila fikiria hajasema hvo Click to expand... Aisee kuna watu mna makasiriko yasiyo na msingi. Mimi nimeuliza ana semaje? Wewe una leta habari za madawa, shida ni nini mzee?
webroyalz said: Kwa wewe umeelewa anasema uuze madawa, sikulaumu! ila fikiria hajasema hvo Click to expand... Aisee kuna watu mna makasiriko yasiyo na msingi. Mimi nimeuliza ana semaje? Wewe una leta habari za madawa, shida ni nini mzee?
oldbull JF-Expert Member Joined Jun 6, 2015 Posts 380 Reaction score 672 Jul 24, 2025 #16 GUI1 said: Aisee kuna watu mna makasiriko yasiyo na msingi. Mimi nimeuliza ana semaje? Wewe una leta habari za madawa, shida ni nini mzee? Click to expand... umeelewa wewe?
GUI1 said: Aisee kuna watu mna makasiriko yasiyo na msingi. Mimi nimeuliza ana semaje? Wewe una leta habari za madawa, shida ni nini mzee? Click to expand... umeelewa wewe?