mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Mara nyingi hizi think tanks zinakuwa zinakuwa organized na managed by proffesional associations. Hapa bongo tatizo hakuna proffesional associations nyingi. Na zile zilizopo zimekaa kisiasa ni week na zina strong affiliation na serikali hivyo kufanya zisiwe influencial katika maswala mbalimbali. Kazi ya advocacy hapa kwetu inafanywa na NGO's ambazo pia zinategemea ufadhili na hivyo kufanya kazi kwa masilahi ya wafadhili.
Sioni uwezekano wa mtu mmoja mmoja kuanzisha think tank ambayo itakuwa na influence. Option iliyipo ni kusajili kama NGO.
Lakini tungeweza kuwa na proffesional associations zenye nguvu ni rahisi ku move forward kwenye kuinfluency. Maana vyama vya kitaaluma vinatambulika kiserikali.
Kipo chama kinaitwa Tanzania Proffesional Network -TPN. Kinafanya kazi kwa msimu labda ungewasiliana na wahusika kuona kama mnaweza kuanzisha different interest groups within TPN ambazo ndo zitakuwa na wataalamu tofauti tofauti wa nyanja mbalimbali.
Nenda online kazicheki Cato Institute, Council on Foreign Relations, Heritage Foundations etc.
Kama alivyosema mkuu mmoja hapo juu, kwa mazingira ya bongo inakuwa ni vigumu kuwa na think tanks zenye credibility. Wasomi wenyewe ndio hao akina Benson Bana, Max Muya etc njaa tupu, hawawezi kuikosoa serikali kwa sababu zao wanazozijua wenyewe moja wapo ikiwa ni NJAA.
By the way, mkuu Kiranga hapa JF, ni think tank tosha na ana weledi na connections nyingi za shindigs kule NY.
Cheki na mkuu Kiranga atakusaidia.
Chondechonde usijekutwa umeng'olewa kucha na meno porini.Hahahahaha it's a sad truth mkuu kwamba wasomi wetu wengi ni wasomi njaa, they are after what is best for themselves and not the country.
Lakini mimi nafikiri pia tatizo ni mfumo mzima wa kiutawala.
Hamna mazingira ya kisheria yaliyotengenezwa ambayo yanaruhusu open discussion na utafiti huru. Hata kama mazingira haya yapo, majibu ya utafiti yanapokuja basi yanatupiliwa mbali na yanakuwa classified reports tu.
And thank you for mentioning "Mkuu Kiranga" i will try to get as much information as possible before i consult him.
Thank you, Thank you, Your assistance is highly appreciated
Chondechonde usijekutwa umeng'olewa kucha na meno porini.
Good luck!
Nakubaliana na wadau hapo njaa kitu kibaya sana ma prof wetu wanatoa takwimu na maoni ambayo wao wenyewe hawaviamini ESRF na REPOA zinatumika Kama think tank
Kwenye sekta ya lT kidogo naona kama wanahivyo vitu kwa kuwatumia Costech na Kinu.
Tume ya Taifa ya Mipango ndio National Think Tank ya Tanzania,kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya serikali.
A think tank is supposed to be an independent institution. Sasa ukisema tume ya taifa ya mipango ndio think tank ya Tanzania, labda ni kibongobongo.Tume ya Taifa ya Mipango ndio National Think Tank ya Tanzania,kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya serikali.