Wamerekani mbwembwe tu ela iko huku
Kaka utafiti mzima wewe aise
mambo yanaendaje kaka na msalimie sana Bulldog mwambie akaribie sana kwenye #teamrafiki
Kaka niko njema sana naona huonekani kabisa mkuu
Hizo gari kwenye folen kwanini hazina plate namba?
Pambana kaka ule wimbo "wanaume tumeumbwa mateso" hua unajirudia rudia sana kwenye akili yangu
wenye magari wamepoteza funguo !!we Bulldog hizo gari zenye vumbi zimetupwa
Siwaliwanunua mnadani Loliondo na wengine tuliwatumia kwa DHL/FEDEX ..lakini baada ya kulipwa haswa$ !!Hivi wamewapataje Simba wetu?
Kaka utafiti mzima wewe aise
mambo yanaendaje kaka na msalimie sana Bulldog mwambie akaribie sana kwenye [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamRafiki]#TeamRafiki [/URL]