Tukiwa tunawangoja eb nitajie polepole..Nikae hapa wakichangia nitapata yakuelezea pia
🤣🤣🤣☺Ana chura..
Avatar yako hilo guu inaonyesha chura aliyekuepo hapo ni hatari.chura mchuchu mio.🤣🤣🤣☺
Hana churaWakuu!!
Nikianza na mimi
1.msikivu
2.mpole
3.mchamungu
4.mchapakazi
5........
ENDELEA NA WEWE☟☟☟☟
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji5]
Mi nachojua ni ana UNO FENI
Hayo mengine anajua aliemuumba
Ila bado najiuliza wapiga nyeto watakomenti wapi..? Labda watambiane ipi sabuni nzuri zaidi kenge hao..
Avatar yako hilo guu inaonyesha chura aliyekuepo hapo ni hatari.chura mchuchu mio.
Wewe unapenda chura ?
Huwa sikosei,macho yangu huwa yapo makini sana yanapo ona vitu hivyo.ngoja alete mlejesho utaamini.