Things which were the first in the world

Duh!kweli tumetoka mbali, hata hivyo baada ya miaka mingine 50 au 100 watakao kuwepo watashangaa kila kitu kilichopo sasahivi.
 
It's good to know that. Things come and pass. Thank you!
 
Sasa 5MB storage ilikua hivi, inapakiwa kwenye ndege na fork lift, hii thumb drive yangu ya 8GB si wangebeba na meli.

 
Namimi naweka picha ya THE 1ST FIRST LADY,



:first::first:
 
hivi bado technology inaendelea kukua au ndo mwisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…