Things that people don't understand

Things that people don't understand

Acha kudanganya watu wewe....
Mie nimetumikia Madhabahu ya Utumishi kwa takriban miaka 7 na ushee...
Lakini siku nimekuja kuelewa maana ya maneno wanayotamka waislamu wakati wa Adhana tangu siku hiyo nikatambua dini ya Haki ni ipi...
Nikaachana kabisa nahabari za utumishi.. Kuning'iniza sanamu shingoni...
Hivi sasa nipo Dini ya Haki na ya ukweli kwa kila mtu...
Allahu Akbar... Unajua maana yake wewe???
Kutokana na imani yako uko sahihi kabisa,ila sidhani kama hiyo sentence uliielewa vizuri.
 
Acha kudanganya watu wewe....
Mie nimetumikia Madhabahu ya Utumishi kwa takriban miaka 7 na ushee...
Lakini siku nimekuja kuelewa maana ya maneno wanayotamka waislamu wakati wa Adhana tangu siku hiyo nikatambua dini ya Haki ni ipi...
Nikaachana kabisa nahabari za utumishi.. Kuning'iniza sanamu shingoni...
Hivi sasa nipo Dini ya Haki na ya ukweli kwa kila mtu...
Allahu Akbar... Unajua maana yake wewe???
Unapenda ligi.
 
Back
Top Bottom