Things I wish Tanzania learned and copied from Kenya

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,073
Devolution
Tanzania needs to turn its regions into self sufficient political and economic entities so as to bring about equal development of the country. It is sad that development right now is concentrated just in Dar es Salaam. This is something we can learn from Kenya. The once extremely impoverished regions of Kenya are now thriving!
The education system
Kenya has a plan to overhaul its entire education system from the current 8-4-4 system to the 2-6-6-3 system. Sisi Tanzania tunatumia mfumo wa kikoloni wa 7-6-3. Kenya's new education will not focus much on examinations but rather on a persons aptitude through continuous assessment. We need to decide once and for all on the official language of instruction in our schools.
 
Tuige Marekani tu... Language ya Elimu iwe ni Moja tu either English or French maana Swahili language imefail na kuharibu misingi ya elimu... Pia tujue tunasomea kuajiliwa au tunasomea kwa ajili ya kijiajili... Elimu ya Ufundi,Ugunduzi na ufumbuzi vipewe kipaumbele zaidi ili tuweze kujenga viwanda vyetu wenyewe na kugundua vipya ambavyo duniani havijawahi tokea... Siasa ipigwe Marufuku Mashuleni na Vyuoni wanao fail ndio wasomee Siasa... na viongozi wasiwe mafailure
 
Devolution au ugatuzi ni muhimu sana na ipo siku mtaikubali. Ni mfumo unaowezesha maendeleo kila sehemu ya nchi. Japo leo mtaponda maana unafanywa na Wakenya.

Kwa wasio ufahamu huu mfumo, ni kwamba kwa mfano watu wa wilaya au mkoa fulani wanajifanyia maamuzi ya nini vipao mbele vyao na pia wanatengewa asilimia ya hela kujifanyia bajeti na utekelezaji wake.

Kwa mfano watu wa Chato nina uhakika wangeulizwa leo hii, wangechagua kufanyiwa mengine tofauti na ilivyoamuliwa kwamba wajengewe uwanja wa kimataifa.
Hayo maamuzi yanayojadiliwa Dar kuhusu mikoa mingine ndio huondolewa na mfumo wa ugatuzi.
 
eti Marekani? hehe watu wanaozungumza broken English!!! u cant even differentiate between the letter "r" and the letter "l" na bado mnasema eti mna education system...on a serious note, Devolution is a necessity for all democracies...ndio maanake ukienda Tz utapata city ni moja tu..."miji" mingine yote iko level ya village...nashangaa mbona yaitwa miji
 
Devolution
Tanzania needs to turn its regions into self sufficient political and economic entities so as to bring about equal development of the country. It is sad that development right now is concentrated just in Dar es Salaam. This is something we can learn from Kenya. The once extremely impoverished regions of Kenya are now thriving!
The education system
Kenya has a plan to overhaul its entire education system from the current 8-4-4 system to the 2-6-6-3 system. Sisi Tanzania tunatumia mfumo wa kikoloni wa 7-6-3. Kenya's new education will not focus much on examinations but rather on a persons aptitude through continuous assessment. We need to decide once and for all on the official language of instruction in our schools.
Wakati Kikwete anamaliza urais wake alizindua sera mpya ya elimu haukuiona? Kwa kifupi tunabadilisha mfumo wa elimu na kupunguza idadi ya michujo. Hii ni sera ilijadiliwa kwa miaka kumi, na wadau wengi wamechangia na kutowa maini. Mwanafuzi atasoma mpaka form 4 bila mchujo kupitia mfumo wa 1(2)-10-2-3+. Pitia huu ukurasa hapa chini...

Mapitio na tafsiri ya sera mpya ya elimu na mafunzo Tanzania – Raia Mwema
 
Devolution au ugatuzi ni muhimu sana na ipo siku mtaikubali. Ni mfumo unaowezesha maendeleo kila sehemu ya nchi. Japo leo mtaponda maana unafanywa na Wakenya.

Kwa wasio ufahamu huu mfumo, ni kwamba kwa mfano watu wa wilaya au mkoa fulani wanajifanyia maamuzi ya nini vipao mbele vyao na pia wanatengewa asilimia ya hela kujifanyia bajeti na utekelezaji wake.

Kwa mfano watu wa Chato nina uhakika wangeulizwa leo hii, wangechagua kufanyiwa mengine tofauti na ilivyoamuliwa kwamba wajengewe uwanja wa kimataifa.
Hayo maamuzi yanayojadiliwa Dar kuhusu mikoa mingine ndio huondolewa na mfumo wa ugatuzi.
Mimi nitakuwa wa kwanza kupinga mfumo wa devolution kama Tanzania ikutaka kuuleta. Hii sera haipati kasi Tanzania kutokana na wengi wanajuwa ndio utakuwa mwisho wa TANZANIA MOJA. Huu mfumo ilitakiwa ukete ushindani wa majimbo (county). Lakini kutokana na historia ya Kenya kugawanyika kikabila, devolution ndio ulionekana ni mfumo utakao mpa kila mkenya sauti katika jimbo lake. Lakini sio kwa Tanzania, tukileta huu mfumo watu Mbeya hatamjuwa ya Arusha. Ukija kwenye pesa ndio kabisa, devaluation haijasaaidia kutu, ndio kwanza imeleta ulaji wa pela na wezi wanajificha nyuma ya county political gang masters. Fikiria Turkana wakikataa kuwapa maji waliyo yagunduwa kwa Samburu au Meru, katiba inawaruhusu. Kibubwa zaidi utawala wa majimbo umeleta ushindani usio kuwa na tija, lini Wajir wanaweza kushindana na Mombasa au Kisumu?

Hii ndio faida ya devolution, na nani anaweza kuwauliza county wakati wanasiasa wanaishi kwa kujenga alliances.

273 lawmakers looted Sh4 billion from CDF kitty in one year
 
Usibishe ilmradi uonekane na wewe upo, unachanganya mambo hapa.
CDF ilikuwepo hata kabla ya ugatuzi, hivyo sioni mantiki ya wewe kuitumia kuuponda huu mfumo.
Halafu ugatuzi sio suluhu dhidi ya ufisadi, wala ubaguzi wa kikabila, kidini au aina nyingine yoyote ya ubaguzi. Hayo ni mapungufu ya kibinadamu na hamna mfumo wa kiutawala unaweza kuyabadilisha. Huwa natolea mfano wa Somalia, wote kabila moja, dini moja lakini wanabaguana na kuuana balaa.

Umuhimu wa ugatuzi ni kuhakikisha maendeleo yanawafikia watu wasiokua karibu na mji mkuu. Wanakua na uwezo wa kuamua nini muhimu kwao, maana serikali kuu itang'ang'ana kujenga miundo mbinu ambayo kwa sasa sio kipau mbele kwa watu wa pale. Watu wanapewa uwezo wa kuandaa bajeti yao na pia kitita cha kugharamia hiyo bajeti, wanakua na uwezo wa kumchagua kiongozi wao pale. Ni kama leo muanze kuwapigia kura akina Makonda na sio kutegemea wateuliwe na rais....
 
Devolution au ugatuzi ni muhimu sana na ipo siku mtaikubali. Ni mfumo unaowezesha maendeleo kila sehemu ya nchi. Japo leo mtaponda maana unafanywa na Wakenya.

Kwa wasio ufahamu huu mfumo, ni kwamba kwa mfano watu wa wilaya au mkoa fulani wanajifanyia maamuzi ya nini vipao mbele vyao na pia wanatengewa asilimia ya hela kujifanyia bajeti na utekelezaji wake.

Kwa mfano watu wa Chato nina uhakika wangeulizwa leo hii, wangechagua kufanyiwa mengine tofauti na ilivyoamuliwa kwamba wajengewe uwanja wa kimataifa.
Hayo maamuzi yanayojadiliwa Dar kuhusu mikoa mingine ndio huondolewa na mfumo wa ugatuzi.

Ukumbuke pia kumheshimu Mhe. Odinga kwani ndiye kinara aliyetuletea ugatuzi.Inakasirisha hata baada ya yote aliyotuzawadia bado aliendelea kupambana na serikali kuu ya kikabila,inayotafuta kila mbinu ya kuibinya mfumo huu tukufu na kuhakikisha ugatuzi unafeli.
 
Haikuhusu shika ya kwenu...na matatizo yenu chungu mzima. ..CHARITY BEGINS AT HOME. ..
 
Mimi nitakuwa wa kwanza kupinga mfumo wa devolution kama Tanzania ikutaka kuuleta. Hii sera haipati kasi Tanzania kutokana na wengi wanajuwa ndio utakuwa mwisho wa TANZANIA MOJA. Huu mfumo ilitakiwa ukete ushindani wa majimbo (county). Lakini kutokana na historia ya Kenya kugawanyika kikabila, devolution ndio ulionekana ni mfumo utakao mpa kila mkenya sauti katika jimbo lake. Lakini sio kwa Tanzania, tukileta huu mfumo watu Mbeya hatamjuwa ya Arusha. Ukija kwenye pesa ndio kabisa, devaluation haijasaaidia kutu, ndio kwanza imeleta ulaji wa pela na wezi wanajificha nyuma ya county political gang masters. Fikiria Turkana wakikataa kuwapa maji waliyo yagunduwa kwa Samburu au Meru, katiba inawaruhusu. Kibubwa zaidi utawala wa majimbo umeleta ushindani usio kuwa na tija, lini Wajir wanaweza kushindana na Mombasa au Kisumu?

Hii ndio faida ya devolution, na nani anaweza kuwauliza county wakati wanasiasa wanaishi kwa kujenga alliances.

273 lawmakers looted Sh4 billion from CDF kitty in one year
Devolution does not work like that. Eti mtu wa Mbeya hatamjua wa Arusha.
Nchi itabaki moja na mamlaka yatabaki kwenye serikali kuu Dodoma. Haitaruhusiwa serikali ya jimbo lolote kuunda sheria itakayozuia uhuru wa raia, bidhaa, fedha na huduma kuhama kutoka sehemu moja ya jamhuri kwenda katika sehemu nyingine.
Besides, devolution can help Tanzania cope with its Zanzibar problem. Think about it.
 
Ukumbuke pia kumheshimu Mhe. Odinga kwani ndiye kinara aliyetuletea ugatuzi.Inakasirisha hata baada ya yote aliyotuzawadia bado aliendelea kupambana na serikali kuu ya kikabila,inayotafuta kila mbinu ya kuibinya mfumo huu tukufu na kuhakikisha ugatuzi unafeli.

Hamna mtu mmoja binafsi aliyetuletea mfumo wowote, tulihusika sote kama Wakenya, tulipambana wote kama Wakenya. Huu unafiki wa kumlimbikizia sifa mtu mmoja wakati kuna hadi mashujaa wengine hadi leo wamechizi baada ya kupitia mateso ili tufikie hapa tulipo. Wapo akina Matiba ambaye hadi leo hajifahamu tena, aliteswa balaa.

Watu kama akina Orengo walishafunikwa na kusahaulika wameishia sycophancy ili wa-survive kisiasa. Mimi hapa binafsi nilikula kibano cha polisi, nilikula mabomu ya machozi barabarani nikipambana, mashujaa wapo kibao na wengi sana waliohusika katika kutufikisha hapo tulipo leo, na kuna baadhi yetu tunawatambua hata kama vyombo vya habari vimewapiga blackout na kulimbikizia sifa mtu mmoja.
 
Devolution does not work like that. Eti mtu wa Mbeya hatamjua wa Arusha.
Nchi itabaki moja na mamlaka yatabaki kwenye serikali kuu Dodoma. Haitaruhusiwa serikali ya jimbo lolote kuunda sheria itakayozuia uhuru wa raia, bidhaa, fedha na huduma kuhama kutoka sehemu moja ya jamhuri kwenda katika sehemu nyingine.
Besides, devolution can help Tanzania cope with its Zanzibar problem. Think about it.

Nafikiri wataalam wenu wa uchumi na masuala ya sheria walikilikalia chini hili suala watakuja kulielewa na kulikubali.
 
Hamna mtu mmoja binafsi aliyetuletea mfumo wowote, tulihusika sote kama Wakenya, tulipambana wote kama Wakenya. Huu unafiki wa kumlimbikizia sifa mtu mmoja wakati kuna hadi mashujaa wengine hadi leo wamechizi baada ya kupitia mateso ili tufikie hapa tulipo. Wapo akina Matiba ambaye hadi leo hajifahamu tena, aliteswa balaa.

Watu kama akina Orengo walishafunikwa na kusahaulika wameishia sycophancy ili wa-survive kisiasa. Mimi hapa binafsi nilikula kibano cha polisi, nilikula mabomu ya machozi barabarani nikipambana, mashujaa wapo kibao na wengi sana waliohusika katika kutufikisha hapo tulipo leo, na kuna baadhi yetu tunawatambua hata kama vyombo vya habari vimewapiga blackout na kulimbikizia sifa mtu mmoja.

Penda husipende ni kinara wa multi-partyism na majimbo..kati ya wenzake....hilo unalijua ndani kabisa moyoni,hadi kaburini unalitambua hilo...:D:D:D:D.tatizo ni siasa za maji taka zinazochochewa na chuki za kikabila.
 
Binafsi sina sababu za kumwona kinara zaidi ya wengine walioteseka zaidi yake, ambaye huwa anatoweka ghafla bomu la kwanza la machozi likiachiwa na kuwaacha wambanaji wakipokea kibano.

Yeye amekuzwa na vyombo vya habari ili wauze magazeti mengi. Anao wafuasi sugu wengi hususan wa kikabila ambao hununua gazeti kila wakimwona kwenye kurasa ya mwanzo, bora walale njaa lakini wanunue gazeti lenye picha yake, hivyo watu wa magazeti inakua lazima wamhusishe kwenye kila taarifa.

Mfumo wa ugatuzi Kenya uliandikwa na wataalam wengi ambao hadi leo hawatajwi, wamebaki kujionea pembeni.
 
Na kufungwa jela kote alikofungwa hulioni hilo?..ha!...:pkweli wamchukia mzee huyu.
 
Hata hivyo niruhusu niumalize mjadala wangu MK254,..kwani kumpendekeza mjaluo machoni pa mkikuyu ni kama kujaribu kutangamanisha lila na fila.
Mchango wake Odinga kwenye siasa na demokrasia ya Kenya ni kubwa mno.
Biashara ulizozitaja za vyombo vya habari zimewaajiri wakenya wengi na kama ni huyo huyo Odinga anaepelekea magazeti kuuzwa zaidi and wakenya kutazama runinga zao basi kwa hilo nampa heko ,siasa ni sanaa na tasnia yenye mitaji kubwa tu.
Labda asingekuwepo wakenya(adults) wamgelinunua magazeti ya Tanzania na kutazama runinga ya Afrika Kusini kwa wingi.
Haiototokea ugonjwa huu ukaisha Kenya abadan,labda vizazi hivi vife vyote vije vichanga vizazi vya ashara!

Ama kweli,LILA NA FILA HAVITANGAMANI!

:D
 
Back
Top Bottom