Nice post
Karucee
muda mwingine unakuta sasa sisi wanawake wenyewe hatujijui tunataka nini................
afu tumelishwa sumu nyingi toka mwanzo kwamba ndoa ni kumridhisha mume tuu na sio kusapotiana
hii imekuwa ndio changamoto kubwa sana
ndo mana mwali wadogo kwa sasa wanakazi ya kulia lia tu wakiamin kwamba wao wamewekwa kuwa rula za wenzi wao. kuwa shape kwa namna wanavyotaka.
unakuta mtu ili m=kupliz mume anaamua hata ku undergo plastic surgery kupata shape inayotakwa na mumewe wanaasahau kwamba mwanaume hajulikana anataka nini.
ukidhan ni shape siku ikiwepo atataman aso na shepu.
ukidhan ni rangi siku ikiwepo atataman asokuwa na rangi
better be yourself always