Hiiiiii ona hili nalo. Sasa makocha wasaidizi wa nn ?Hamkani si shwari tena ndani ya Makolo
Matola unafikiri ni kocha pale, yeye ndiye mbeba ngada na kuwalisha wachezaji unga wa ndelembona matola yeye hajichomoi? vp kuna nini kwa Matola?
Shutuma nzito sana hizo uncleMatola unafikiri ni kocha pale, yeye ndiye mbeba ngada na kuwalisha wachezaji unga wa ndele
Kwa nini ajichomoembona matola yeye hajichomoi? vp kuna nini kwa Matola?
Mtani VpHamkani si shwari tena ndani ya Makolo
Aondoke na mapaka yale atayafuga nani?huyo ni mzawa ,hata kwenye uwekezaji kuna wa ndani lazima wawepo
huyo ni mzawa ,hata kwenye uwekezaji kuna wa ndani lazima wawepo
mkuu mechi ya Galaxy alimzimia Gomes simu,Gomes mpaka akapanic ,alitegemea hamna comeback wangeshinda aonekane hero,ya juzi timu inaongoza magoli mengi akawa anaforce ili wakuu wa timu wajue yeye ndo kichwa,waburudi ni masnitch ,nakuambia subiri miezi miwili tu Caze ataanza kufanya mazingira aonekane mwamba pale utopolo,, huyu Hitimana alikuwa amemalizana na mtibwa ,ishu ya vyeti Simba ikamwambia unaweza kukaa benchi uwe msaidizi?imebaki siku 3 akawabadilishia line viongozi wa mtibwa hapatikani,Sasa hivi Sijui atawaambia niniBora amesepa hatutaki snitch pale
yule Simba damu mkuu,Simba ndo inaamua,mbona hujiulizi kwanini yeye huwa anabaki?